linah Misidai (@misidaidaughter) 's Twitter Profile
linah Misidai

@misidaidaughter

ID: 1487453110931017734

calendar_today29-01-2022 15:50:50

17 Tweet

14 Takipçi

121 Takip Edilen

Samson Charles (@samsonchazz) 's Twitter Profile Photo

Mwaka Jana pekee, Watanzania wote walitumia kiasi cha shilingi Trillion 1.7 kujitibu afya zao katika vituo na hospital mbalimbali nchini. (MTAJI)

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Huyu mama ndio anamsimamia mdogo wangu Feisal? Kwamba mchezaji akiwa hana furaha anavunja tu mkataba? Awe na sababu au asiwe na sababu? Tunaupeleka wapi mpira wetu? Tupo kuwasaidia hawa vijana au kuwapoteza dira kwa maslahi yetu binafsi? Hii kauli haina afya kwenye mpira wetu.

MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Tunahitaji chombo huru cha uchunguzi pale kunapotokea vyombo vyetu vya usalama vikatuhumiwa. Haiwezekani polisi wanatuhumiwa halafu wao wenyewe ndio wanaendesha uchunguzi. Heche ametuhumu Polisi mkoani Mara kumteka mwananchi mmoja na mpaka sasa hajulikani alipo. Leo ameitwa

linah Misidai (@misidaidaughter) 's Twitter Profile Photo

Tukio la ukatili na unyama uliofanywa na waliotumwa na afande kumkatil bint wahusika wachukuliwe hatua kali za kisheria na aliyewatuma,Watu wamekosa utu tunaotegemea watulinde wanatukatili,hii haikubaliki justice kwa binti.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti FREEMAN MBOWE pamoja na Mwenyekiti wa Vijana John Pambalu wamekamatwa ktk uwanja wa ndege wa Songwe Mbeya. Nilazima tukubali kuwa mbegu sasa. It’s Now or Never.