Haki 🇹🇿Taifa ♻🐦 (@mfuasi2014) 's Twitter Profile
Haki 🇹🇿Taifa ♻🐦

@mfuasi2014

Utaacha Legacy gani Baada ya Muda Wako Kuisha Hapa Duniani Watu Wataangalia Maisha Uliyoishi Kwenye Miaka yako Sio Miaka Uliyoishi Kwenye Maisha Yako (RIP ENL)

ID: 2769016439

calendar_today13-09-2014 15:45:13

5,5K Tweet

849 Followers

89 Following

Haki 🇹🇿Taifa ♻🐦 (@mfuasi2014) 's Twitter Profile Photo

Mange Kimambi Mange Niko hapo na sikuweza kufanya chochote zaidi ya kutafuta bajaji na kumbebea huyo kijana aliyepigwa hapo chini (master polltable) nyamagama garden.

Haki 🇹🇿Taifa ♻🐦 (@mfuasi2014) 's Twitter Profile Photo

Mange Kimambi Baadae jeshi lilifika hapa hili ni Ganda la risasi tulipowaonyesha wanajeshi wakasema ni risasi ya mpira, nimeshindwa kupots video maana ina saut yangu Niko narudi DSM kuzika ndugu yangu (Niko tayar kufa pia kwajili ya Tanganyika na haki)💪🥺

<a href="/mangekimambi/">Mange Kimambi</a> Baadae jeshi lilifika hapa  hili ni Ganda la risasi tulipowaonyesha wanajeshi wakasema ni risasi ya mpira, nimeshindwa kupots video maana ina saut yangu Niko narudi DSM kuzika ndugu yangu (Niko tayar kufa pia kwajili ya Tanganyika na haki)💪🥺
Haki 🇹🇿Taifa ♻🐦 (@mfuasi2014) 's Twitter Profile Photo

Mange Kimambi Ukiwa nyegezi Kuna jengo la kamanga medics hospital 🏥 linajengwa na halijakamilika kulikuwa na sniper hapo aliua pia watu sio hadith ni kweli tupu na hakukuwa na cha kufanya 🥺

Haki 🇹🇿Taifa ♻🐦 (@mfuasi2014) 's Twitter Profile Photo

Mange Kimambi Tunadanganywa idadi kwamba ni 700 no ni zaidi ya watu 10k+ wamekufa uchunguzi huru ukifanyika utabaini, dams hakuna mtaa hajafa Mtu achilia mbali mauwaji ya hailiki mjini

kibaha_finest (@kibaha_finest) 's Twitter Profile Photo

UNFOLLOW MWIJAKU UNFOLLOW DIAMOND PLATINUM UNFOLLOW ALIKIBA UNFOLLOW HARMONIZE UNFOLLOW RAYVANNY UNFOLLOW KONTAWA UNFOLLOW SHILOLE UNFOLLOW OMMY DIMPOZ UNFOLLOW JUX UNFOLLOW BILLNASS UNFOLLOW KONTAWA UNFOLLOW ALL TZ CELEBRITY.🇹🇿 THEIR HANDLE IS DOWN IN COMMENTS

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Sababu za maandamano zilitajwa kuwa ni:- 1. Kukemea utekaji, ukamataji holela wa wakosoaji na viongozi wa upinzani na mauaji kinyume na sheria 2. Reforms za sheria za uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na haki 3. Ubadhilifu wa mali ya umma unaofanywa na viongozi waandamizi

Sababu za maandamano zilitajwa kuwa ni:-

1. Kukemea utekaji, ukamataji holela wa wakosoaji na viongozi wa upinzani na mauaji kinyume na sheria

2. Reforms za sheria za uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na haki

3. Ubadhilifu wa mali ya umma unaofanywa na viongozi waandamizi
African Union (@_africanunion) 's Twitter Profile Photo

The African Union Election Observation Mission calls for urgent constitutional reforms and inclusive politics in the United Republic of Tanzania. Read the Preliminary Statement report here peaceau.org/en/article/pre…

The African Union Election Observation Mission calls for urgent constitutional reforms and inclusive politics in the United Republic of Tanzania.

Read the Preliminary Statement report here peaceau.org/en/article/pre…
Thadei Mhabuka (@mhabukat) 's Twitter Profile Photo

Sataki kuamini kama haya yalikuwa yakitokea kwenye aridhi ya nchi yangu na mwisho wa sku watu hao wote walipewa adhabu ya kifo pamoja na kutii amri kila kitu kuto kuwa na makuu mambo haya hayata sahaulika kamwe katika maisha yangu yaliyo baki duniani😭😭😭

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

ANAANDIKA BONGO ZOZO "BALOZI WA UTALII TANZANIA". Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii. Nimesikitika sana kuwaanqusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua,