Mwalimu Method (@methodjr) 's Twitter Profile
Mwalimu Method

@methodjr

Fulbright TEA Alumnae.
Husband and Father of Four boys.
Teacher, Soccer Coach & Writer.
Arsenal die hard. Next TFF President

ID: 284068165

linkhttps://www.teacheron.com/resources/assets/img/badges/proudToBeTeacher.png calendar_today18-04-2011 15:22:50

6,6K Tweet

466 Followers

1,1K Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Ndugai aliwaapisha na kuwapakata wabunge feki wa uviko 19. Alimpa Mwambe ubunge wakati amefutwa uanachama CDM. Alitesa wapinzani Bungeni. Alipitisha sheria kandamizi. Alipitisha bajeti za serikali bila mjadala. Majuzi alizomewa na w’nchi. Ameumaliza mwendo kwa fedheha.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kuna unafiki mkubwa katika jamii za Afrika mtu akiwa mkatili, dhalimu na mpinga haki, anapofariki husafishwa kwa maneno ya sifa kana kwamba alikuwa mzalendo. Huu ni upumbavu unaoendeleza ukatili na kuwapa watesi ujasiri wa kuumiza bila woga wa historia. Watu wanapaswa kuogopa

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

SIASA ZA KIINIMACHO NA FIKRA ZA WALALAHOI. Anyway, tukumbuke tu kuwa wakati wenzetu mnafanya biashara ya upinzani kiasi hiki, anayeumia ni mtanzania maskini ambaye kila siku mnamtapeli kwa hii illusion ya upinzani. Shame!!

Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Tuna ligi namba 5 Afrika, tuna vilabu vinapishana makundi pale CAF kila msimu. Tulikuwa tunasifiwa tuna mashabiki bora A Mashariki na Kati lakini CHAN imekuja kutuvua nguo. Ni uongo wa hali ya juu kusema sisi tuna mashabiki bora. Tumewaangusha CAF pakubwa sana. 😂

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

CCM inapata kiburi cha ku parade wafanyabiashara kukusanya fedha kwa sababu WALIUA Bunge. Miaka ya nyuma wafanyabiashara walichangia CCM lakini sio hadharani kwa sababu walijua kuwa kashfa zao zitaibuliwa Bungeni. Wafanyabiashara ilibidi wachangie vyama vyote kisiri ili

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kesho, Jumatatu 18.08.2025 Jaji Hamidu Mwanga atatoa maamuzi kuhusu uhalali wa kusitisha shughuli za kisiasa za CHADEMA. Kesi hii itakuwa Mahakama Kuu ya Tanzania – Masjala ndogo ya Dar es Salaam Kesho, Jumatatu 18.08.2025 kesi ya uhaini aliyopewa Tundu Lissu itaendelea katika

Kesho, Jumatatu 18.08.2025 Jaji Hamidu Mwanga atatoa maamuzi kuhusu uhalali wa kusitisha shughuli za kisiasa za CHADEMA. Kesi hii itakuwa Mahakama Kuu ya Tanzania – Masjala ndogo ya Dar es Salaam

Kesho, Jumatatu 18.08.2025 kesi ya uhaini aliyopewa Tundu Lissu itaendelea katika
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mtungi wako umejaa siasa, siyo sheria. Ungekuwa muigizaji, hukumu zako zingeshinda tuzo za maigizo bora kwani haki ikifika kwako, huvaa buti za CCM.

Mtungi wako umejaa siasa, siyo sheria. Ungekuwa muigizaji, hukumu zako zingeshinda tuzo za maigizo bora kwani haki ikifika kwako, huvaa buti za CCM.
Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

The real treason is to betray the people’s right to question power, and that is the charge history will level, not against Tundu Lissu, but against his persecutors. #FreeTunduLissu #LissucommitedNoCrime ACTWazalendo Chadema Tanzania

The real treason is to betray the people’s right to question power, and that is the charge history will level, not against Tundu Lissu, but against his persecutors. #FreeTunduLissu
#LissucommitedNoCrime 
<a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a>  <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a>
Pope Leo XIV (@pontifex) 's Twitter Profile Photo

I invite all the faithful to take part in a day of fasting and prayer on August 22, imploring the Lord to grant us peace and justice, and to wipe away the tears of those who suffer because of ongoing armed conflicts. May Mary, Queen of Peace, intercede so that peoples may find

Mwalimu Method (@methodjr) 's Twitter Profile Photo

Exactly, in Tanzania you can feed yourself with whatever you want in as low price as Kenyans can't afford hata robo ya unga. Eat, enjoy na urudi ukapambane na njaa ya Kenya. 😁😁

Malafyale (@mwansasusnr) 's Twitter Profile Photo

Itakuwa waliambiwa Godfather anakuja, Godfather nae kachungulia kaona mgoja alinde bland sasa vijana wanapagawa kuona jahazi litaenda chini ya Mume wa Matiko badala ya Haruna Niyonzima Baba Mzazi Eeh Baba 😂😂😂

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu: 1. Utawala Bora na Demokrasia –

Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu:

1. Utawala Bora na Demokrasia –
BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

'A bullet went through my skull' In the wake of his abduction on a highway in Tanzania's main city Dar es Salaam, social media activist Edgar Mwakabela, better known as Sativa, says he came close to death.