MEKU (@meku_06) 's Twitter Profile
MEKU

@meku_06

|God fearing⛪|Nature's follower 🌟|Fc barcelona|~Actually i am the sperm that won the race!💪~

ID: 1156071379600625664

calendar_today30-07-2019 05:17:50

4,4K Tweet

670 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Elisa~Minty D&D🧚🏾‍♀️ (@elisalinah31) 's Twitter Profile Photo

TFF wao ndo walisogeza muda wa mechi na kuihairisha halafu sahivi wanasema "Wanasikitika" na kutaka "Uchunguzi" wapuuzi nyie.🚮🚮🚮 #KariaMustGo

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Mwili wa Shabiki wa Yanga, Aliyetambukika kwa jina la Herman. Aliyepigwa Shoti jana wakati alivyoenda kuangalia Mechi ya Derby.. Uko tayari kwa ajili ya Mazishi.. Video kwa Comments 👇

Mwili wa Shabiki wa Yanga,

Aliyetambukika kwa jina la Herman.

Aliyepigwa Shoti jana wakati alivyoenda kuangalia Mechi ya Derby..

Uko tayari kwa ajili ya Mazishi..

Video kwa Comments 👇
Ali Wasi (@ali_bwasi) 's Twitter Profile Photo

Godbless E.J. Lema Zoezi linaoendelea la kuandikisha wapiga kura, kwenye vituo viwili nilivyopita kuna wajumbe wa CCM wanakaa ndani ya vituo, mtu akishamaliza kujisajili na kupata kitambulisho, wao wanachukua kitambulisho chake na wana-copy Jina lako na namba ya kitambulisho kwenye madaftari yao.

Levis Gamba (@levisgamba) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi Newspapers FIFA kindly be informed that the Tanzanian Government is interfering with football disputes violating FIFA rules and regulations. TFF TANZANIA and Ligi Kuu have adulterated football rules and regulations by postponing the Kariakoo derby on March 8th 2025.

Big Boy 👣 (@herotza) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Police Force TZ Sadly wapo wanaoamini ya kwamba wanaotaabika na Haki ni Upinzani tu, au ni watu wa Chadema pekee, bila ya kutafakari ukandamizaji ni mfumo ulivyo, hauko kutenda haki, bali kukandamiza, baadhi yao mpk yawakute ndio hupata kuelewa. We need everyone on deck, so we'll win together

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Sio sheria tena, ni unyama na kumkomoa Lissu. Kukomoa chama chetu, kukomoa haki. Watanzania msikubali. Hakuna atakae ishi milele hapa duniani. Tutashinda Hii vita, Mungu yupo pamoja na sisi.

Cyprian, Is Nyakundi (@c_nyakundih) 's Twitter Profile Photo

Because you guys are doing it the wrong way! Cancel culture may not work overnight, but accountability isn’t always loud … it’s patient. You don’t need an earthquake to bring down a building, you chip at it brick by brick. Unfollowing him isn’t the only metric. Start asking

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tanzania Tundu Lissu amewasilisha maombi katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuwa ajumuishwe kama mdaiwa katika kesi ya Mgawanyo wa Mali inayokikabili chama chake. Jambo TV imezungumza na Mkurugenzi wa

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> Tundu Lissu amewasilisha maombi katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuwa ajumuishwe kama mdaiwa katika kesi ya Mgawanyo wa Mali inayokikabili chama chake.

Jambo TV imezungumza na Mkurugenzi wa
Eric Hunley (@hunleyeric) 's Twitter Profile Photo

Latest word on Nate The Lawyer. "Surgery was successful. Still waiting to see him. He’s in recovery" It's looking good! Thank you all so much for your prayers and support!