Paschal Mdee (Amir)(@MdeePaschal) 's Twitter Profile Photo

Wallahi naamini kuna msemo unasema “Chungeni Mnapo Ichukua Elimu Yenu” (kama sijakosea)
Mimi ni mchache wa Elimu ila Ushia hapana.
Na sisemi hivi kama kejeli, lakini kwa jamaa zangu ambao ni Shia🙏 please do your research. Please, you guys are good people na wengine DM tuna

account_circle
Big Dream(@bigdream255) 's Twitter Profile Photo

Katika pita pita zangu mda mchache kutoka sasa nimeona prince dube photo shoot akiwa na jezi za yanga Acha niseme tu

Price Dube ni Mwananchi🙌🔥

Katika pita pita zangu mda mchache kutoka sasa nimeona prince dube photo shoot akiwa na jezi za yanga Acha niseme tu

Price Dube ni Mwananchi🙌🔥
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Je, unadhani vijana wanamtazamo gani kuhusu kazi na ajira? unganza nasi muda mchache kuanzia sasa tukiwa kwenye MJADALA kuangazia ajira na vijana kuelekea Mei Mosi

Je, unadhani vijana wanamtazamo gani kuhusu kazi na ajira? unganza nasi muda mchache kuanzia sasa tukiwa kwenye MJADALA kuangazia ajira na vijana kuelekea Mei Mosi 

#MJADALA
#EastAfricaTV
account_circle
Joramu Nkumbi(@NkumbiJoram) 's Twitter Profile Photo

Katika wakati wangu mchache wa kusafiri kwangu hapa Duniani, nimejifunza kwamba kila kitu ni muujiza na hakuna kitu kinachodumu milele. Iwe napata chakula sehemu za kifahari na watu mashuhuri au napata chakula kwenye pembe za mitaa na watu wa kawaida, hakufanyi tofauti kwangu.

CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Maandamano yanaanzia Mafumbo Center na kuishia uwanja wa Mashujaa. Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe ataongoza maandamano hayo. Muda mchache ujao maandamano yataanza.

Maandamano yanaanzia Mafumbo Center na kuishia uwanja wa Mashujaa. Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz ataongoza maandamano hayo. Muda mchache ujao maandamano yataanza.
#VuguvuguLaKudaiHaki
#WikiYaMaandamano
account_circle
Twaha Mwaipaya(@Twaha_Mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Maandamano yanaanzia Mafumbo Center na kuishia uwanja wa Mashujaa. Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe ataongoza maandamano hayo. Muda mchache ujao maandamano yataanza.

Maandamano yanaanzia Mafumbo Center na kuishia uwanja wa Mashujaa. Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz ataongoza maandamano hayo. Muda mchache ujao maandamano yataanza.
#VuguvuguLaKudaiHaki
#WikiYaMaandamano
account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

'Muda mchache ujao tunaadhimisha kutimia miaka 60 [ya Muungano wa Tanzania] tangu kuanzishwa kwake. Katika hili hatuna budi pia kuwapongeza viongozi wa awamu zote za Serikali zetu mbili waliofuatia kwa uongozi wao katika kuenzi, kuudumisha na kuimarisha Muungano wetu.' - Rais

Mchache(@mchaache) 's Twitter Profile Photo

💥Ukiwa na MB50 shetani huwa anakaa mbali kabisa ila ukiwa na GB1 hata anakotokea hujui utasikia “MB zote hizo unashindwa hata kuangalia X mzee mwenzangu”😹😹😹

account_circle
Eng. Bern Mwangaza(@bernmwangaza) 's Twitter Profile Photo

I write this LETTER to my BROTHERS of WAR.
Engineer. Hillary Shikuba
Engineer Teddy Kevin Otieno Onyuka
Engineer Brian Shivanda Jnr
Engineer Benjamin Nyakundi.
Engineer Derrick Mochache
Engineer Augustine Odamong
Engineer Isaac Namasaka
Engineer Polycarp Omondi.