Chief Suleimān M. M. Baitani
@mbaitani
PCVE Expert|Views are mine😉|Justice Lover ⚖️|Quran is my 📖|+259 (Zanzibar)|Ibwera my roots|Co-Founder @kijana_hai| Zanzibar National Coordinator - THRDC
ID: 1491099474
07-06-2013 19:25:43
22,22K Tweet
4,4K Takipçi
2,2K Takip Edilen
Young minds gathered at the Pamoja Youth Initiative for the #VijanaMakiniMeetup on June 1st. Led by Mr. Chief Suleimān M. M. Baitani, discussions on youth empowerment & participation in the decision-making process in Zanzibar were vibrant and inspiring. Thanks to all who participated and made it successful.
Ninafurahishwa sana na jitihada zisizo na mwisho za Mratibu wa Taifa THRDCOALITION katika kuhakikisha haki za binadamu zinaheshimiwa na kulindwa. Hongera za dhati kwa Kaka zangu Boniface Jacob, Martin Maranja Masese, na Zitto MwamiRuyagwa Kabwe kwa mchango wao mkubwa katika jambo hili la msingi. 🇹🇿
So excited to have this special visit from ACT Party Leader Dorothy Semu akiwa katika ziara yake ya kutembelea wadau mbalimbali. We value the role of political parties katika harakati za kujenga democracy na rule of law. Tunasisitiza kwa vyama kuweka mambo y’a haki za binadamu
"Ziko wapi enzi za ulumbi na waneni wenye Kiswahili mufti? Kitabu hiki kinarejesha hadhi ya lugha na kueleza ukombozi wa Afrika na Tanzania kama kinara wake. Ni mwenge wa matumaini kwa kizazi cha sasa na kijacho." Joramu Nkumbi Hiki kitabu ni fumbua macho! Hongera sana 👏👏