mauki joseph
@mauki_joseph
positive thinker and advisor to other peoples thinking in the same priority
ID: 905151975297359874
05-09-2017 19:33:42
2,2K Tweet
239 Followers
415 Following
VIDEO: Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu amtumia ujumbe huu Rais Samia Suluhu akiadhimisha miaka sita (6) tangu ashambuliwe kwa risasi
Swahili Times Moto mchochee wenyewe alaf viongoz wa dini ndio wakazime? Kwann msuruhusu wawazuie viongozi wa nchi kuvuruga aman? Kwan hamjui haki ikikosekana na amani hutoweka
Ummy Mwalimu Unaweza kutuelekeza shule wanajiunga kwa utaratibu gani? Je wale watoto ambao hawajaanza shule haki yao ya kupata huduma za afya zikoje mheshimiwa?
Hellow NMB Bank Plc ! Naombeni masharti ya kukopa!
Wadau msipite bila kuisoma hii naomba turetweet ifike kwa Ummy Mwalimu tunamuombea huyu mtoto apatiwe msaada apone anateseka mno🙌
Nipigie kura nishinde Tuzo ya Zikomo africa awards na kuwa Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika. Napambana na magwiji 8 wa uandishi wa Vitabu Barani AFRIKA kutoka Mataifa mbalimbali ya AFRIKA. FUNGUA LINK vote.zikomoawards.com/ZikomoAfricaAw…