
Martine Abdul Kandore
@martinabdul14
Chairman of Chaso -NIT /Human rights fighter
A boy from Kanda maalumu Mara✌️
ID: 1392254207412027399
11-05-2021 23:04:22
431 Tweet
93 Followers
130 Following




Asante sana mwenyekiti Deogratias Mahinyila 🙏, wasomi hawa hawapaswi kuwa wanyonge wanapaswa kesema changamoto ili wasemewe waje kwa wingi na CHASO DAR ES SALAAM tutawasemea changamoto zao kupitia #wanafunziwasemewe Aluta continua✌️ #NoReformsNoelection #wanafunziwasemewe






Kongamano lililoandaliwa na mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA mkoa wa Dar es salaam CHASO DAR ES SALAAM litafanyika jumapili tarehe 25-05-2025 Makao Makuu ya chama Mikocheni, mgeni rasmi ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. John Heche. Mnakaribishwa nyote. #Chaso #ChanzoChaFikraBora


Msikilize MAKAMU MWENYEKITI John Heche kuhusu kelele zinazoendelea kuihusu CHADEMA. TUPO IMARA SANA.🙏🏿 #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Mh Dr. Dorothy Gwajima ,sisi CHASO DAR ES SALAAM tumepata taarifa ya kusikitisha kwenye chuo cha NIT kuwa Kuna mdada ameombwa rushwa ya ngono na Waziri Mkuu wa serikari ya wanafunzi ili apitishwe kuwa mbunge baada ya kukataa ameanza kumtengenezea kesi, haya mambo sio ya kufumbia macho hayafai.





Asanteni sana viongozi wetu Mh John Heche na MNYIKA John John kwa heshima kubwa mlio tupatia CHASO DAR ES SALAAM hatutanyamaza mpaka pale ujumbe wa #NoReformsNoElection utakapofika kila sehemu,hatupo tayari kumuacha yeyote nyuma. Asante sana m/kiti Deogratias Mahinyila #NoReformsNoElection #getinvolved


Martine Abdul Kandore John Heche MNYIKA John John CHASO DAR ES SALAAM Hilda Newton Rose Mayemba Maria Sarungi Tsehai Twaha Mwaipaya LYENDA Chacha Heche Proud of you Brother. Keep the battle higher. Hiki Chama kimebarikiwa vijana wenye akili nyingi na timamu. Hawataisha leo, kesho na hata milele. Mfano wake ni wewe, Mratibu wa CHASO Mkoa wa Dar es salaam. Akili ya CHASO mmoja ni UVCCM buku. Whether you like or not. Dunia inajua.

CHASO THE GAME IS ON 🔥🔥 #NoReformsNoElection Get involved Don't miss to hear our Vice Chairman CHASO DAR ES SALAAM Mh Angas Oketch tune on EastAfricaRadio .
