Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile
Maria Sarungi Tsehai

@mariastsehai

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

ID: 24312877

linkhttps://mariasarungitsehai.medium.com/ calendar_today14-03-2009 02:40:08

770,770K Tweet

1,3M Takipçi

8,8K Takip Edilen

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#UGIRIKI: UGIRIKI YATANGAZA HALI YA DHARURA HUKO CHIOS KUTOKANA NA MOTO Serikali ya Ugiriki imetangaza hali ya dharura ya kiraia katika kisiwa cha Chios kufuatia mlipuko mkubwa wa moto wa nyika unaoendelea kwa siku ya pili mfululizo. Moto huo, ambao ulianza Jumapili katika

#UGIRIKI: UGIRIKI YATANGAZA HALI YA DHARURA HUKO CHIOS KUTOKANA NA MOTO
Serikali ya Ugiriki imetangaza hali ya dharura ya kiraia katika kisiwa cha Chios kufuatia mlipuko mkubwa wa moto wa nyika unaoendelea kwa siku ya pili mfululizo. 

Moto huo, ambao ulianza Jumapili katika
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA:MWINYI ASOGEZA MBELE TAREHE YA KUVUNJA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesogeza mbele tarehe ya kuvunja Baraza la 10 la Wawakilishi Zanzibar hadi Agosti 13, 2025. Dkt Mwinyi amesema ameahirisha

#TANZANIA:MWINYI ASOGEZA MBELE TAREHE YA KUVUNJA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesogeza mbele tarehe ya kuvunja Baraza la 10 la Wawakilishi Zanzibar hadi Agosti 13, 2025.

Dkt Mwinyi amesema ameahirisha
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA KITAELEWEKA! OPERESHENI MAALUM YA UKAGUZI WA MAGARI YA SHULE Katika kuhakikisha Mkoa wa Songwe unaendelea kuwa salama Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linaendelea kudhibiti ajali zinazosababishwa na madereva wasio fuata sheria za usalama barabarani kwa kufanya ukaguzi wa

Ausares* ➤ Louise UWACU (@louiseuwacu) 's Twitter Profile Photo

Excellent decision ... if The People’s Watchman and Agather Atuhaire can not be safe in #Tanzania ... lets all stay away from Samia Suluhu 's Tanzania this Mama Idi Amin Mama's rule of tyranny deserves to be Boycotted like this ... Thank you #Kenyans #FreeAfrica .. #Imana

BOB (@cpbbob) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Anataka watu wa comment aachie Mpox zake🤣🤣🤣 No reform No Election haijawahi toka kwenye trending na haitatoka mpaka reforms zifanyike

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu kama hii, mida ya saa moja usiku ndio nilifikishwa kwenye moja ya kituo cha polisi ARUSHA. Kwenye Cello niliyowekwa nilikuwa Pekeangu. Na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala kwenye kituo cha polisi tangu ni zaliwe. Kitu pekee niligundua kwenye ile Cello ni

Jumatatu kama hii, mida ya saa moja usiku ndio nilifikishwa kwenye moja ya kituo cha polisi ARUSHA. 

Kwenye Cello niliyowekwa nilikuwa Pekeangu. Na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala kwenye kituo cha polisi tangu ni zaliwe.

Kitu pekee niligundua kwenye ile Cello ni
MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING: IRAN FIRES MISSILES AT US BASES IN QATAR AND IRAQ Iran has launched missiles at US military bases in Qatar and Iraq, saying it's in response to American airstrikes on its nuclear sites over the weekend. One of the targets was Al Udeid Air Base near Doha, the largest US

#BREAKING: IRAN FIRES MISSILES AT US BASES IN QATAR AND IRAQ
Iran has launched missiles at US military bases in Qatar and Iraq, saying it's in response to American airstrikes on its nuclear sites over the weekend.
One of the targets was Al Udeid Air Base near Doha, the largest US
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: KENAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA MPYA, MAKONDA AACHWA Rais Samia Suluhu amemteuwa Kenan Kihongosi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akitokea mkoa wa Simiyu, anachukuwa nafasi ya Paul Makonda ambaye uteuzi wake umetenguliwa usiku huu.

#TANZANIA: KENAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA MPYA, MAKONDA AACHWA
Rais Samia Suluhu amemteuwa Kenan Kihongosi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akitokea mkoa wa Simiyu, anachukuwa nafasi ya Paul Makonda ambaye uteuzi wake umetenguliwa usiku huu.
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: BALOZI SIMON SIRRO ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA KIGOMA Rais Samia Suluhu amemteuwa Balozi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma akichukua nafasi ya Thobias Andengenye, uteuzi wake umefanyika leo Juni 23, 2025

#TANZANIA: BALOZI SIMON SIRRO ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA KIGOMA
Rais Samia Suluhu amemteuwa Balozi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma akichukua nafasi ya Thobias Andengenye, uteuzi wake umefanyika leo Juni 23, 2025
Mbishi ⚖ (@bizy94) 's Twitter Profile Photo

🚨 SHOCKING: Zanzibar's 1st VP Othman Masoud, while in Canada, admits he KNOWS NOTHING about the House of Reps extension! 😱 His party claims they'll protect votes in Oct elections, but he’s clueless on this HUGE issue! 🤔 People of Zanzibar demand: NO REFORM, NO ELECTION! 🔥

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: BENO MALISA ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA MBEYA, HOMERA ATEMWA Beno Morris Malisa ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Juma Homera.

#TANZANIA: BENO MALISA ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA MBEYA, HOMERA ATEMWA
Beno Morris Malisa ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Juma Homera.
Chriss fundi CDM (@chrissfundi) 's Twitter Profile Photo

Alitekwa mbele ya mke wake mpaka sasa hajulikani alipo. Ila uzuri tumesha mpata mtu ambaye anaweza kutuonyesha Mdude Nyagali alipo ni huyu JUMA HOMERA

Alitekwa mbele ya mke wake mpaka sasa hajulikani alipo. Ila uzuri tumesha mpata mtu ambaye anaweza kutuonyesha <a href="/mdudenyagali/">Mdude Nyagali</a> alipo ni huyu JUMA HOMERA
#NoReformNoElection✌️ (@s_saniniu) 's Twitter Profile Photo

A member of parliament from Zanzibar who made notorious speech condemning Police why was Martha Karua SC not severely tortured and injured in Tanzania while attending court hearing of Tundu Antiphas Lissu this statements is among the reasons TANZANIA TO LOSE HOSTING RIGHTS FOR 2025 EALS.