Mapesa Mathias
@mapesa_mathias
Son of God through Jesus christ
ID: 1456297179769982977
04-11-2021 16:28:42
29 Tweet
61 Followers
390 Following
Mnanichamba nini? Dkt Samia Suluhu hajaiponya Nchi? Demokrasia, Haki za Binadamu, Diplomasia, Ajira Mpya, Mzunguko wa Fedha mtaani, n.k vinafanana na miaka 6 iliyopita? Muwe na Shukrani. Nitukaneni ila jueni mimi ni gogo la udi, nasimama na ukweli, nasimama na Mama Daima. OVER!!