Malimba Saba๐Ÿ‘ป (@malimbasaba) 's Twitter Profile
Malimba Saba๐Ÿ‘ป

@malimbasaba

Political science

ID: 1411078073630482432

calendar_today02-07-2021 21:44:24

1,1K Tweet

143 Followers

497 Following

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Abroad TV @TCRA_Tz Kukosoa utendaji sio shida ninachokataa ni UPOTOSHAJI WAKO WA KIJINGA KWA MAMBO YA MUHIMU KWA NCHI.. USIJIASAHAULISHE UONGO ULIOTUNGA JUU YA ZIARA YA RAIS CHINA. HATUSAHAU NA TUNAFUATILIA sio kutishana. Huwa sitishi nachukua hatua

Tommy (@kilangithomas) 's Twitter Profile Photo

Flaviana Matata crif.... Mngekuwa na ndoa zenu hata zilizoweza kuishi miaka 5 mngetushawishi. ,, haya ma kampeni yenu ndio yanasababisha kuwe na watoto waliokosa msingi wa malezi bora yakaingia kwenye ushoga na madawa ya kulevya

Verve Ag-Innovate Ltd. (@verveaginnovate) 's Twitter Profile Photo

The average potato production per hectare was roughly 40,000 kilos per hectare in 2021. This is how their investment is promising. #statista

The average potato production per hectare was roughly 40,000 kilos per hectare in 2021. 
This is how their investment is promising. 
#statista
Cypher Smith Rowe โ˜…๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@cyphersmitrowe) 's Twitter Profile Photo

MUONEKANO WA MALAIKA Najua ushawahi kusifiwa na kuambiwa kuwa unaonekana mzuri kama Malaika na wewe unaichukuliaga kama Compliment! Ila ukiangalia Biblia inabidi ujihisi umetukanwa๐Ÿ˜‚ Mara nyingi Malaika wanaonekana kama Wazuri,Ngozi Ang'avu na Mabawa,weupe,na wana Halo๐Ÿ˜‡