Othman_makaka (@makakaothman) 's Twitter Profile
Othman_makaka

@makakaothman

never look back

ID: 1288408284366544898

calendar_today29-07-2020 09:38:51

1,1K Tweet

641 Followers

2,2K Following

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Mambo 5 Ambayo ni watu wazima tu wanaweza kukwambia 1 Usitumie mtu kumsahau mwingine. 2. Kama kila mtu ni rafiki yako, una tatizo. 3. Unawajibika kwa maisha yako mwenyewe 4. Kila mtu huondoka. Utajifunza jinsi ya kuwa peke yako bila kuhisi upweke. 5. Uaminifu ni Hazina

MWANAHISABATI (@arthurgeil) 's Twitter Profile Photo

1) Usimdharau mtu 2) Usipende mafanikio ya haraka 3) Penda kujifunza vitu vipya 4) Usiwe na mademu wengi wanakula muda na rasilimali 5) Tafuta kujitegemea usipende kuishi kwa kumtegemea mtu 6) Anzisha kisehemu chako cha uzalishaji uongeze kipato 7) Ishi maisha yako

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya kumfanya mtu awe na furaha, fanya hivyo. Wakati mwingine, watu wanapambana kimya kimya na matatizo yao. Huenda tendo lako dogo la wema likawa nuru inayowafanya waone siku yao kuwa bora.

Ahmad (@rajuquire) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Naa’muu, Dhahabu haipungui thamani yake kwa kipofu kushindwa kuona mng’ao wake, Hata kama mtu akishindwa kuona ubora/mchango wako haimaanishi kuwa huna thamani, Relax.

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Sisi wengi leo tunakula pesa tuliyopata jana kama ilipatikana au tunakula kwa deni. Linapokuja suala la kuweka akiba sisi labda tuweke akiba ya maneno.

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Kijana mwenye ndoto ya kufanikiwa, ktk umri wa 20-40s fanya haya; 1. Kuwa na vyanzo zaidi ya ki1 vya mapato 2. Nunua ardhi hata kama ipo ndani ndani 3. Tengeneza network na watu wa muhimu kwenye biashara na serikali 4. Tunza afya yako. Mafanikio hayana maana bila afya njema

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Saed Kubenea kada wa zamani wa CHADEMA afunguka kuhusu G-55 anasema ni watu wa Freeman Mbowe na wanafanya uhuni tu, Wanastahili kufukuzwa

Agora Discourse (@agoracfr) 's Twitter Profile Photo

. Tundu Antiphas Lissu , the Tanzanian opposition leader who was arrested yesterday has this afternoon been charged with Treason. #FreeTunduLissuNow Who is Tundu Lissu? we have profiled who Tundu is. #FreeTunduLissu

. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> , the Tanzanian opposition leader who was arrested yesterday has this afternoon been charged with Treason. #FreeTunduLissuNow 
Who is Tundu Lissu? we have profiled who Tundu is.
#FreeTunduLissu
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Huyu kadai reforms za kuondoa polisi katika shughuli za kisiasa. Polisi wamemkamata katika shughuli za kisiasa. Je amekosea wapi? Si alichokisema ndicho kimetokea? Polisi hawajampa point 3 za bure? Anasema bila reforms hakuna uchaguzi. Wenzake (G55) wanasema twende kwenye

"Huyu kadai reforms za kuondoa polisi katika shughuli za kisiasa. Polisi wamemkamata katika shughuli za kisiasa. Je amekosea wapi? Si alichokisema ndicho kimetokea? Polisi hawajampa point 3 za bure?
Anasema bila reforms hakuna uchaguzi. Wenzake (G55) wanasema twende kwenye
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Demokrasia Barani Afrika umetoa wito wa dharura wa kuachiliwa mara moja na bila masharti Mhe Tundu Antiphas Lissu, Kiongozi wa Chama cha CHADEMA nchini Tanzania. Democratic Union of Africa (DUA) imetaarifu kuwa Lissu kwa sasa anakabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo

Umoja wa Demokrasia Barani Afrika umetoa wito wa dharura wa kuachiliwa mara moja na bila masharti Mhe Tundu Antiphas Lissu, Kiongozi wa Chama cha CHADEMA nchini Tanzania. 

Democratic Union of Africa (DUA) imetaarifu kuwa Lissu kwa sasa anakabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Stephen Odhiambo Obise mkazi wa Kaunti ya Migori nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha miezi 18 au kulipa fani ya shilingi za Kenya Ksh, 500,000 kwa kosa la kuhatarisha maisha yake na maisha ya waliokuwa ndani ya Helikopta mara baada ya kudandia Helikopta wakati ikiruka.