Eng.Maseke Maseke (@magson_smm) 's Twitter Profile
Eng.Maseke Maseke

@magson_smm

programmer&computer networker
Freedom fighter

ID: 1255855867108495361

calendar_today30-04-2020 13:46:13

2,2K Tweet

471 Followers

916 Following

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Leo nimemtembelea Mkti Tundu Lissu Magereza. Wkt wa mazungumzo, alinieleza kuwa amefahamishwa kuwa kuanzia sasa hataruhusiwa kutembelewa na mtu yeyote isipokuwa ndugu zake wa damu. Huku mazungumzo yetu yakiendelea, askari mmoja aliingia ghafla na kwa ukali akanielekeza nitoke nje

Justine Ntamagala (@jntamagala40110) 's Twitter Profile Photo

Ndugu tuko nyuma Yako mwenyezi Mungu akutie nguvu kwenye wakati mugumu kama huu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

Ndugu tuko nyuma Yako mwenyezi Mungu akutie nguvu kwenye wakati mugumu kama huu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Jana nimejaribu kuwatembela kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea . Kuwatia moyo na kuwambia hawako peke yao katika vita hii. Pia kuwambia Watanzania wako pamoja nao na wanawaombea. Lakini serikali dhalimu ya ccm wamekataa nisiwaone hawa vijana. Nataka kutoa wito kwa

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Askari wa Magereza wamenizuia kuingia gereza la Ukonga leo kumwona Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu . Wamesema wana maelekezo kuwa asionane na kiongozi yoyote wa Chadema Tanzania . Tutautaarifu umma hatua tutakazochukua kufuatia kadhia hii. #FreeTunduLissu #FreeChadema #freetanzania

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu is being isolated, blocked from his own party leaders. This is how the illegitimate Samia Suluhu junta tries to break the movement. But itโ€™s a failed, desperate move. Their so called โ€œpeaceโ€ means silence and submission. We refuse.๐Ÿ”ฅ #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #D9

Tundu Lissu is being isolated, blocked from his own party leaders. This is how the illegitimate <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> junta tries to break the movement. But itโ€™s a failed, desperate move.

Their so called โ€œpeaceโ€ means silence and submission. We refuse.๐Ÿ”ฅ

#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #D9
Pascal Yohana Haonga (@haongahon) 's Twitter Profile Photo

Breaking News!! Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.

Breaking News!!
Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.

Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.
Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

"Samia Suluhu Hassan is not the President of Tanzania as she has not been elected by Tanzanians. Chadema do not recognise her as President and she should not be recognized as such by anyone in the world." Mhe. Deogratias Munishi

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania,

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Fortunatus Buyobe amekematwa na askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jioni hii. Hatujui wanampeleka wapi. Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake. Huu ushenzi haukubaliki. Free Fortunatus Buyobe Now!

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kumficha mtu kwa saa 48 bila kumfikisha Mahakamani au kumpa dhamana ni kuvunja sheria mnazotakiwa kuzifuata. Muacheni HURU ndugu Fortunatus Buyobe au mfikisheni Mahakamani kama kuna tuhuma zozote dhidi yake. Hii ni nchi yetu na wote tunayo HAKI ya kuishi kwa UHURU na AMANI. #FreeBuyobe

Kumficha mtu kwa saa 48 bila kumfikisha Mahakamani au kumpa dhamana ni kuvunja sheria mnazotakiwa kuzifuata. Muacheni HURU ndugu <a href="/fbuyobe/">Fortunatus Buyobe</a> au mfikisheni Mahakamani kama kuna tuhuma zozote dhidi yake. Hii ni nchi yetu na wote tunayo HAKI ya kuishi kwa UHURU na AMANI. #FreeBuyobe
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Bon voyage kanda ya Pwani. Kanda ya Pwani zimetoka gari (coaster) tano jioni hii kuelekea Kanda ya Kaskazini, mkoani Arusha, katika mazishi za Muasisi na Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru, Arumeru. Niwatakie safari njema na salama viongozi

Bon voyage kanda ya Pwani. 

Kanda ya Pwani zimetoka gari (coaster) tano jioni hii kuelekea Kanda ya Kaskazini, mkoani Arusha, katika mazishi za Muasisi na Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru, Arumeru.

Niwatakie safari njema na salama viongozi