MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile
MACMEDIANEWS

@macmedia22

Facebook @nicolausngaiza
Instagram @macmedia22

ID: 3109588593

linkhttp://www.macmedianews.co.tz calendar_today24-03-2015 06:59:20

278 Tweet

121 Followers

713 Following

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

Leo katika funguka ndani ya The score 88.5MHz, tunazungumzia shughuli ya ushereheshaji kwenye matukio kama harusi, tamasha, send off nk. ambapo baadhi ya matukio hupendeza au kuchukiza baadhi ya watu kutokana na… instagram.com/p/B8yKyhWnU6R/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya mfuko wa taifa wa bima ya afya NHIF, imemshukuru aliyekuwa mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki, kwa kuhakikisha anawaunganisha wafanyakazi wa taasisi yake ya Kasibante FM. Akizungumza… instagram.com/p/B80eyPdnsjw/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

IMPACT OF THE STORY Siku tatu baada ya kasibanteonline na Kasibante FM, kuibua uhitaji wa wanafunzi katika shule ya wenye uhitaji maalumu Mgeza mseto manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wahisani wamejitokeza kuchangia… instagram.com/p/B81BV6XnUJb/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

JNICC; Madini ya tin yamekuwepo miaka mingi mkoani Kagera lakini hayakuwahi kuwa na tija lakini uzinduzi wa cheti hiki utakwenda kuleta tija na manufaa kwa wenyeji na taifa kwa jumla. Brigedia generali Marco Elisha… instagram.com/p/B857Oqany1t/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

VIJANA 300 WAWEKWA KWENYE REKODI; KUSIMULIA WALIKOPITIA. Tayari serikali imekamilisha taratibu zote muhimu kuelekea katika uzinduzi wa Kongamano la vijana kwenye kilimo kesho tarehe 24 Februari 2020 mkoani… instagram.com/p/B859FlSHOaO/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

KATIKA FUNGUKA NDANI YA THE SCORE LEO JUMATATU; Waliofanikiwa wanasema ni muhimu kujitafutia ukiwa na umri mdogo ili kuyafikia mafanikio, ingawa kumekuwa na changamoto ya kumaliza masomo ukiwa na umri mkubwa na… instagram.com/p/B88g5lJHUwJ/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

MWANDISHI ERICK KABENDERA AMEACHIWA: Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, amemuachia huru mwandishi wa Habari Erick Kabendera. Katika hukumu iliyosomwa na Hakimu Janeth Mtega imemtaka mtuhumiwa… instagram.com/p/B88u2TwHmYM/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

Funguka katika the score mchana wa leo. NINI KINAKUVUTIA KWENYE FILAMU ZA KIBONGO NA UNAHISI WAPI WANAKOSEA KAMA KWELI KUNA MAKOSA AU WAPI WANAPATIA KWENYE MAZURI? kasibantefm.co.tz na tunein.com instagram.com/p/B9EZTNaHWDk/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

The score mchana wa leo ni Hot friday club bangers. Mgeni wa week ni Vincent aka Vinny kutoka Red cross Tanzania. kasibantefm.co.tz na tunein.com instagram.com/p/B9G4AHQnkDa/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

BERNAD MEMBE AMEFUKUZWA UANACMA WA CMM. Waziri wa mambo ya nje wa zamani nchini Tanzania Bernard Membe, amefukuzwa uanachama wa CCM kwa mujibu wa maamuzi ya kamati ya chama hicho, Yusuph Makamba amesamehewa huku… instagram.com/p/B9G5BstnVR3/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

Makala ya mboni ya jicho usiku wa leo ijumaa saa3:15 usiku, inaangazia kuanza kazi kwa meli ya Mv Victoria iliyosimama miaka kadhaa kwa ukarabati. Je maandalizi ya bandari yakoje, wanabukoba wamejiandaaje na wakati… instagram.com/p/B9HltpRH9uu/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

Leo katika kipindi cha "zama zao" utamsikia Hamisi Juma Kitambi alietunga na kuimba wimbo wa rangi ya chungwa , na ili kujua ilikuwaje wimbo huo ukaitwa rangi ya chungwa. Usikose kusikiliza kuanzia saa 3 kamili… instagram.com/p/B9JDLQPnSvH/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

Hii ndiyo taarifa mpya kuhusu virusi vya Corona, kutoka wizara ya afya nchini Tanzania. Tusikilize moja kwa moja kasibantefm.co.tz na tunein.com, na tembelea mitandao ya Facebook MACMEDIANEWS Twitter kasibantefm… instagram.com/p/B9Jsa6SnnJx/…

MACMEDIANEWS (@macmedia22) 's Twitter Profile Photo

Katika funguka ndani ya The score 88.5MHz. Je ni kitu gani kibaya uliwahi kufanyiwa na rafiki yako kwa muda mrefu lakini imekuwa vigumu kusahau mpaka leo? Usisahau kumsikiliza msanii wa Singeli Meja Kunta kama… instagram.com/p/B9OiI57nWAp/…

Mohammed Abdulrahman (@mamkufunzi) 's Twitter Profile Photo

Nashindwa kuwaelewa wanaodai Zanzibar haiwezi kujiendesha yenyewe. Kama iliweza jana wakati wa vita vya pili vya dunia kwanini leo ishindwe? Pia wakati wa utawala wa Mzee Karume haikuwa na deni. Alijenga nyumba za michenzani, za wazee, uwanja wa Amani, Televisheni nk bila mkopo.