Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile
Think Different

@lifeofmshaba

#ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |

ID: 253815675

linkhttps://forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5UM7 calendar_today18-02-2011 01:07:14

230,230K Tweet

443,443K Followers

3,3K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Bi Kizimkazi ka-panic Ye anaanzisha ugomvi na kila mtu - alafu bifu ikimshinda anaanza kutumia Dola Imagine hadi anaanza ugomvi na Gen Z 🇰🇪 yamemshinda anafunga mtandao 🙄 🤣🤣 ila mwaka huu katuunganisha sana! Ndo maana atapumzika au atapumzishwa #TutaelewanaTu

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Mimi sio mkabila kbs, ila km umewahi kufika Zenji, utakubaliana na mimi kuwa Wazanzibari ni wabaguzi sana dhidi ya Wabara, mbaya zaidi ukiwa mtanganyika-mkristo. Lkn wapo Wazenji waungwana waliostaarabika

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tunakushukuru sana, tunawashukuru Watanzania wote kwa jinsi ambavyo mmejitoa kupigania mabadiliko kwa michango yenu. Ofisi ya katibu mkuu itatoa update ya michango yote iliyochangwa kutoka kwa Watanzania…

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

😀😀 Joseph Musukuma insulting Kenyans saying there is nothing to learn from Kenya .. his CV says differently! A primary school leaver whose only work experience is working for CCM! Ah well ignorance is bliss! He doesn’t know that he doesn’t know! Ila hawa wabunge wa CCM ni

😀😀
Joseph Musukuma insulting Kenyans saying there is nothing to learn from Kenya .. his CV says differently!
A primary school leaver whose only work experience is working for CCM!
Ah well ignorance is bliss! He doesn’t know that he doesn’t know!
Ila hawa wabunge wa CCM ni
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

CCM tumekuwa na wanafiki sana. Haya maneno siyo ya Gwajima. Haya ni maneno ya Shujaa wetu JPM akilaani utekaji. Kusema kweli, tumevamiwa na wahuni wa Kizimkazi. Gwajiboy, kazia hapo hapo, karibuni wanaumbuka. Damu ya mtu haiendi Bure.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kwenye CV anasema yeye ni Mbunge hapo hapo anaweka na kamati za bunge ilikujazia , ila wanaandika kitu kile kile kazi ya ubungie ndio imempa hiyo Ni sawa na kusema mimi ni dereva ila uwa na park gari pia au nashika ufunguo wa gari kuwa kazi ya pili

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Once upon a time, Tanzania was an American and European darling. Today, CCM makes #Tanzania dance with China (CCP), North Korea (Kim Jong-un), and others. CCM is cozying up to communist China, but it's unclear how this relationship will impact our friendship with the West!

Rehema Mugogo (@rehemanm2) 's Twitter Profile Photo

Dr. Tulia Ackson We Dr. Tulia Ackson unanikera sana ujue na vimaneno vyako plus kujifanya hujali Natamani kukutukana kwa Kinyakyusa ila najizuia tu hapa Unajua ni jinsi gani unavyotupandisha hasira? Hivi wewe ni mwanamke wa namna gani usiekuwa na huruma? 📌Damu DEUSDEDITH SOKA mliemuuwa ikurudie📌

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Niliwaambia target yake ni Magufuli na team yake maana amechukizwa na kanda ya Ziwa walivyopokea CHADEMA Alipokea nchi kutoka wapi na alikuwa humo humo? Siku za Nyerere alikuwa anakwenda CHATO kuchukua ile mihela tuko imeisha amecha misafara ya kwenye kaburi la Magufuli Mwanzo

Niliwaambia target yake ni Magufuli na team yake maana amechukizwa na kanda ya Ziwa walivyopokea CHADEMA 

Alipokea nchi kutoka wapi na alikuwa humo humo? Siku za Nyerere alikuwa anakwenda CHATO kuchukua ile mihela tuko imeisha amecha misafara ya kwenye kaburi la Magufuli

Mwanzo