Laura Pettie
@laurapettie
Author | Novelist | Disability Activist
...The girl from tomorrow
ID: 133646777
16-04-2010 08:47:40
475 Tweet
1,1K Followers
133 Following
Laura Pettie Naweza, pesa niliyonayo mfukoni ndio itakayo amua
Ahsante sana Tuzo Nyerere
Laura Pettie Wizara ya Elimu Tanzania Taasisi ya Elimu Tanzania UWARIDI a milestone along the journey. The sky is not the line. Paa!!
Hongera sana mwanamama Laura Pettie (72) kwa tuzo hii. Tunaojua ustadi wako katika hizi kazi tunaamini huu ni mwanzo tu, Mungu azidi kufungua milango zaidi kwako.
Laura Pettie wetu. Hatimaye jambo letu limejipa. Pongezi sana. Tuzo Nyerere #TuzoNyerere
Jiunge nasi leo saa nne asubuhi, ambapo Mwenyekiti wa Kamati wa Tuzo Prof. Penina Mlama atakuwa mubashara Bongo FM, akizungumzia #TuzoNyerere TBC DIGITAL
Ujanajike. Ni riwaya yangu mpya iliyoshinda Safal Kiswahili Prize mwaka 2022. Riwaya hii imechapishwa na Mkuki na Nyota na sasa inapatikana TPH Bookshop kwa bei Tsh 15,000/= Tu Naomba mniunge mkono kwa kujininunulia wewe mwenyewe na uwapendao. Hasa ukizingatia leo ni siku ya