UWARIDI (@uwaridiofficial) 's Twitter Profile
UWARIDI

@uwaridiofficial

Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira. #Uwaridi #NjooTunukie #Riwaya #Kiswahili

ID: 1239204673279713282

calendar_today15-03-2020 15:00:11

114 Tweet

245 Followers

23 Following

Laura Pettie (@laurapettie) 's Twitter Profile Photo

Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu katika riwaya, kwa mwaka 2024 ni Laura Pettie. NDIYO! NI MIMIII... What a Milestone!! Alhamdullilah!! Ahsante sana Wizara ya Elimu Tanzania Ahsante sana Taasisi ya Elimu Tanzania. Ahsante sana UWARIDI.

Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu katika riwaya, kwa mwaka 2024 ni  Laura Pettie. NDIYO! NI MIMIII...

What a Milestone!!

Alhamdullilah!!
Ahsante sana Wizara ya Elimu Tanzania
Ahsante sana Taasisi ya Elimu Tanzania.
Ahsante sana UWARIDI.
UWARIDI (@uwaridiofficial) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na kumsherehekea mwanachama wetu, Bi Laura Pettie kuwa MSHINDI WA KWANZA wa Tuzo Nyerere (riwaya) 2024, tunatumia nafasi hii pia kuwapongeza wanachama wetu wengine: Bw. Hamisi Kibari kwa kuwa MSHINDI WA TANO na Bw. David Shalali kuwa MSHINDI WA TISA katika tuzo hii.

Hussein Tuwa (@husseintuwa) 's Twitter Profile Photo

MUUAJI WA MWAKA MPYA kitabu cha MUUAJI WA MWAKA MPYA, sasa kipo sokoni. Kinauzwa shilingi za kitanzania ELFU KUMI NA TANO TU (15,000/-). Kukipata, tutwangie: 0655 428085) #muuajiwamwakampyakajaatele #riwayandozetu

MUUAJI WA MWAKA MPYA

kitabu cha MUUAJI WA MWAKA MPYA, sasa kipo sokoni.
Kinauzwa shilingi za kitanzania ELFU KUMI NA TANO TU (15,000/-). Kukipata, tutwangie: 0655 428085)
#muuajiwamwakampyakajaatele     #riwayandozetu
UWARIDI (@uwaridiofficial) 's Twitter Profile Photo

Takribani watu milioni mia mbili Duniani tunazungumza Kiswahiliβ€”na kukifanya kuwa lugha ya nane kati ya lugha elfu sita zinazo zungumzwa. Ni fahari kubwa kwetu kuzungumza, kusoma na kuandika kwa Kiswahili. Kiswahili: Elimu na Utamaduni wa Amani.

Safal Kiswahili Prize (@kiswahiliprize) 's Twitter Profile Photo

The SAFAL Safal Kiswahili Prize for African Literature has announced a call for submission of manuscripts for its 9th edition. Submissions will close on 30th November 2024.

The SAFAL Safal Kiswahili Prize for African Literature has announced a call for submission of manuscripts for its 9th edition. Submissions will close on 30th November 2024.
Tuzo Nyerere (@tuzonyerere) 's Twitter Profile Photo

Dirisha la kutuma miswada limefunguliwa tena. Nyanja zinazoshindaniwa ni riwaya, ushairi, hadithi za watoto na tamthiliya. Makataa ni Novemba 30, 2024. #TuzoNyerere

Dirisha la kutuma miswada limefunguliwa tena. Nyanja zinazoshindaniwa ni riwaya, ushairi, hadithi za watoto na tamthiliya. Makataa ni Novemba 30, 2024.

#TuzoNyerere
Lilian Mbaga (@lilianmbagatz) 's Twitter Profile Photo

Hutokea mtu akaombwa rushwa ya ngono na akakubali, lakini si kwa hiari yake, bali ni taathira ya kibiolojia (Tonic Immobility – Involuntary Inability to Move) inayotokea pale mhanga anapobananishwa kwenye 18 na kujazwa hofu. Chonde Wabunge, msiruhusu MHANGA akageuka MSHITAKIWA.

Centre of African Studies (@cas_soas) 's Twitter Profile Photo

Annual Baraza Swahili Studies Conference at SOAS University of London is underway with panels on Linguistics, philosophy, Literature, Art and Heritage. #barazasoas #swahilibaraza2024 Ida Hadjivayanis

Annual Baraza Swahili Studies Conference at SOAS University of London is underway with panels on Linguistics, philosophy, Literature, Art and Heritage. #barazasoas #swahilibaraza2024 Ida Hadjivayanis
UWARIDI (@uwaridiofficial) 's Twitter Profile Photo

MSHINDI WA KWANZA wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu (Tuzo Nyerere ) katika riwaya, kwa mwaka 2025, ni mwanachama wa Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira (Uwaridi), Bw. Maundu Mwingizi Hii ni mara ya TATU kwa tuzo hii kuja UWARIDI. Hongera sana Maundu.

MSHINDI WA KWANZA wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu (Tuzo Nyerere ) katika riwaya, kwa mwaka 2025, ni mwanachama wa Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira (Uwaridi), Bw. Maundu Mwingizi

Hii ni mara ya TATU kwa tuzo hii kuja UWARIDI.

Hongera sana Maundu.
Lilian Mbaga (@lilianmbagatz) 's Twitter Profile Photo

Huu ushindi ni wetu sote waandishi-bunifu kwa sababu umekuwa mwalimu wetu wengi. Wewe ni Shaaban Robert kwa kizazi hiki. Kongole Mwanabalagha Maundu Mwingizi

Maundu Mwingizi (@maundumwingizi) 's Twitter Profile Photo

Only another writer can know how much damage writing a novel can do to you. It's an unnatural activity to sit at a desk and squeeze words out of yourself. – Norman Mailer

TheGuardianTzOnline (@theguardiantzo1) 's Twitter Profile Photo

#News VETERAN Tanzanian author Maundu Mwingizi has won the 2025 Mwalimu Nyerere National Prize for Creative Writing (novel category) for his manuscript Jeneza la Taifa (The Nation’s Coffin), a compelling narrative that ...read more:shorter.me/42EKK

#News VETERAN Tanzanian author Maundu Mwingizi has won the 2025 Mwalimu Nyerere National Prize for Creative Writing (novel category) for his manuscript Jeneza la Taifa (The Nation’s Coffin), a compelling narrative that ...read more:shorter.me/42EKK
UWARIDI (@uwaridiofficial) 's Twitter Profile Photo

BURIANI PROF. NGUGI Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira (Uwaridi) tumepokea kwa taarifa za kuondokewa na gwiji wa fasihi Afrika, Prof. Ngugi wa Thiong'o, kwa huzuni na simanzi kubwa. Ahsante kwa kutuchongea njia ya fasihi na kutuachia alama isiyofutika. Kalale pema Mzee.

BURIANI PROF. NGUGI

Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira (Uwaridi) tumepokea kwa taarifa za kuondokewa na gwiji wa fasihi Afrika, Prof. Ngugi wa Thiong'o, kwa huzuni na simanzi kubwa.

Ahsante kwa kutuchongea njia ya fasihi na kutuachia alama isiyofutika. Kalale pema Mzee.