RFK (@kuchi10) 's Twitter Profile
RFK

@kuchi10

Husband, Father of 2, Public Health Specialist, Mancunian, Optimist!, @OfficialUoM Alumni,
RT=shared, Like~seen...

ID: 49588270

calendar_today22-06-2009 10:04:00

20,20K Tweet

4,4K Followers

1,1K Following

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Wakati nchi za wenzetu zipo busy kutengeneza viongozi wa kesho ili waweze kupokea kijiti, sisi tupo busy kuandaa wapumbavu wa kulamba lamba makalio kila kukicha. Tunaua future ya taifa letu kwa kufanya upumbavu huku tukidhani ni jambo la maana sana.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Jana pia nilikuwa nikimweleza Neema tukio moja gumu lililonikuta siku za karibuni. Nilipokamatwa na Polisi Arusha na kupelekwa Dar es Salaam, pale kituo cha Tourism Arusha, OCD ( Georgina Matage) alikuja kunishusha kwenye gari na kuanza kunishambulia kwa ukatili mkubwa. Akaamuru

Jana pia nilikuwa nikimweleza Neema tukio moja gumu lililonikuta siku za karibuni. Nilipokamatwa na Polisi Arusha na kupelekwa Dar es Salaam, pale kituo cha Tourism Arusha, OCD ( Georgina Matage) alikuja kunishusha kwenye gari na kuanza kunishambulia kwa ukatili mkubwa. Akaamuru
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Hii ni nchi ambayo unazaliwa Kigoma unaoa Dodoma, Unaitwa Abdallah unamuoa Magdalena, Unasali Jumapili unaalikwa chakula siku ya Eid, unaitwa Ramadhani unatibiwa Hospitali ya Mtakatifu Joseph. Msingi wetu ni Umoja wetu, tusikubali kugawanywa kwa maslahi ya watu wachache.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Jaji Mwambegele, Kailima na tume yenu… Nyie ni wahusika wa moja kwa moja ya kile kilichotokea tarehe 29/10. Nyie kwa kiburi na dharau mmeingiza Nchi yetu kwenye matatizo makubwa… Mauaji, dhuluma na maumivu makubwa waliyofanyiwa Watanzania.. Nyie ni sehemu ya wahusika wa

Patrice Evra (@evra) 's Twitter Profile Photo

Well done everyone Manchester United happy for you Michael Carrick Perfect attitude please dont let down your new manager Ps: waiting for the thanks my arsenal fans 😅🥰 #ilovethisgame #positive4evra #family

Well done everyone <a href="/ManUtd/">Manchester United</a> happy for you
<a href="/carras16/">Michael Carrick</a> 
Perfect attitude please dont let down your new manager
Ps: waiting for the thanks my arsenal fans 😅🥰
#ilovethisgame #positive4evra #family
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Rahuuuum Kabla hatujaenda mbali katika hoja ya uhalali na ubatili wa uchaguzi. (Rahma) ulikuwa mgombea ubunge kupitia hicho chama chenu cha ACT katika jimbo la Kinondoni. Ulipewa kura ngapi na INEC katika majumuisho? Walipiga kura watu wangapi kati ya wapiga kura wangapi walioandikishwa

BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

#BBCAfricaEye investigates a wave of enforced disappearances spreading fear across Tanzania – told through powerful testimonies from survivors of abduction and torture. 🎥 Watch the documentary 'State of Fear' here: bbc.in/4kcyrkB

#BBCAfricaEye investigates a wave of enforced disappearances spreading fear across Tanzania – told through powerful testimonies from survivors of abduction and torture.

🎥 Watch the documentary 'State of Fear' here: bbc.in/4kcyrkB
Scott Saunders (@__scottsaunders) 's Twitter Profile Photo

Benjamin Sesko’s winner against Fulham was Man Utd’s 44th goal of the Premier League season. They scored 44 goals in the ENTIRE PL season last year. The win over Fulham put United on 41 points. They accumulated 42 points in the ENTIRE PL season last year.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kinachoogopesha zaidi sio mashahidi wa kubumba ktk kesi ya Mchongo ya Mkti Lissu iliyoko Mahakamani, bali ni uwezo wa Serikali kuwa na aina hii ya mipango ya aibu bila kuona fedheha. Hii inatia hofu zaidi. Inawezekana huko mbele kukafanywa utafiti utakaoonyesha kwamba kulikuwa na