nashir
@kilayanash
ID: 1542733158432514048
01-07-2022 04:54:54
400 Tweet
61 Followers
447 Following
Tushashindwa kitambo! Wamebaki wachache sana handakini! Heshima kwa marasta waliotusalisha sala kali sana tukiwa na ndugu zetu Wajamaa Tanzania ✊🏿🙏🏿
Joseph Mbilinyi Uongozi wa Mzee Mwinyi kama viongozi wengine unapande mbili, kama kuna jambo ambalo limetuletea shida mpaka sasa ni sera ya uliberali mamboleo ulijojaa uholela ulokujaa baada ya ujamaa ndio mnaita kufungua dunia tupoanza kufeli Big time, Ujamaa haukuefeli ila sisi tuliufelisha
Mwamedi anasema ardhi anayoitaka haikaliwi na watu wengi sana na siri kubwa ya mafanikio yake ni maombi ya maskini. Jasper Kido Theodora PIUS Muhemsi Mwakihwelo