Jesus Cousin๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ (@kayne9v) 's Twitter Profile
Jesus Cousin๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ

@kayne9v

Man of God.freedom of speech๐ŸคŸ
#COYG

ID: 1722554809

calendar_today02-09-2013 14:37:30

10,10K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Watumishi wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili Muhimbili National Hospital Tunasikitika kuwapoteza watumishi wenzetu 200 waliokua wameajiriwa kwa Mkataba. Serikali imesema kua sababu ya kuwafukuza kazi watumishi hao ni kua haina pesa za kuwalipa. Ikumbukwe tuna upungufu mkubwa wa wataalamu.

Watumishi wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili <a href="/MuhimbiliTaifa/">Muhimbili National Hospital</a> Tunasikitika kuwapoteza watumishi wenzetu 200 waliokua wameajiriwa kwa Mkataba. Serikali imesema kua sababu ya kuwafukuza kazi watumishi hao ni kua haina pesa za kuwalipa. Ikumbukwe tuna upungufu mkubwa wa wataalamu.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa ya kumkamata mtuhumiwa mmoja kwa tuhuma za makosa ya Kimtandao. Taarifa hiyo ya leo Septemba 25, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, imesema mtuhumiwa huyo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa ya kumkamata mtuhumiwa mmoja kwa tuhuma za makosa ya Kimtandao.

Taarifa hiyo ya leo Septemba 25, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, imesema mtuhumiwa huyo
Dunia๐ŸŒ (@duniaslavedunia) 's Twitter Profile Photo

Ukipiga kura umesaini Mikataba ya Kuteka na kuua watu na kupotezwa Huo ndio mkataba wa Ccm na watu wake KATAA KUPIGA KURA 29 MAANDANO

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Mange huna deni umeisaidia sana hii nchi tar 29 tukiikomboa tunakuvisha nishani Mange Kimambi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ hongeraaaaaa Nime scan QR CODE ni yenyeweeee ipo kwenye website ya TRA aisee TIN namba ya ABDUL 109342908 Malipo ya BILION 2 wizi na ufisadi mamae ABDUL ataozea jera huyu mamae

Mange huna deni umeisaidia sana hii nchi tar 29 tukiikomboa tunakuvisha nishani <a href="/mangekimambi/">Mange Kimambi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ</a> hongeraaaaaa 

Nime scan QR CODE ni yenyeweeee ipo kwenye website ya TRA aisee 
TIN namba ya ABDUL 109342908
Malipo ya BILION 2 wizi na ufisadi mamae ABDUL ataozea jera huyu mamae
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Mambo ni mwendokasi kama mwendokasi. Oktoba 29 tunaandamana kuikomboa nchi yetu. Ni siku ya kumfurumusha Abdul na mamake madarakani. Haya yatakuwa maandamano ya Kitaifa. Ni maandamano yasiyojali itikadi za kivyama Sababu ingine ya maandamano: Kifo cha Magufuli kichunguze

Mambo ni mwendokasi kama mwendokasi. 

Oktoba 29 tunaandamana kuikomboa nchi yetu. Ni siku ya kumfurumusha Abdul na mamake madarakani.  

Haya yatakuwa maandamano ya Kitaifa. Ni maandamano yasiyojali itikadi za kivyama

Sababu ingine ya maandamano: Kifo cha Magufuli kichunguze
Revocatus James Ng'oja (@ngrevocatus) 's Twitter Profile Photo

Ogopa matapeli 29.10.2025 Hakuna uchaguzi Kuna MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO 29.10.2025 MAANDAMANO

Grok (@grok) 's Twitter Profile Photo

Hofa_Remmy16 Fortunatus Buyobe Ndiyo, Buyobe yuko sahihi. Hakuna chuo chochote nchini Kenya kinachotoa Advanced Diploma maalum katika Refrigeration na Air Conditioning, kulingana na rekodi za TVET na KNQF. Kenya hutumia Higher Diploma au Higher National Diploma (HND) kwa viwango vya juu vya kiufundi, si

Mercides ๏ฃฟ (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Ety Wako bize kutiki hawa mafala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Imagine uko na mtu ambae Anakuzunguka na kukurekodi Watanzania wote tunaongea lugha moja Repost 360

The Kenyan Vigilante (@kenyansays) 's Twitter Profile Photo

Tanzanian electoral officials were captured on camera casting multiple votes for President Samia Suluhu, marking entire booklets in her favor as protests by youths continue across the country!

PASTA JOSHUA โ›‘๏ธ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ? Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu. Walitufundisha ukondoo wa

Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ?

Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu.

Walitufundisha ukondoo wa
Mreno Hassani (@mreno255) 's Twitter Profile Photo

Wapwa muliojoin x 2026 jua kwamba hapa X ...๐Ÿ‘‡ 1. Usiongee baya lolote kuhusu chadema. 2.Dizasta vina ndio rapper bora Tanzania. 3.Wenye followers kuanzia 10k ni masuper star. 4.Single mothers na wasimbe hawana haki. Ukipinga tuu hizo issue basi utaishi kwa shida ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”