Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profileg
Muhimbili National Hospital

@MuhimbiliTaifa

National referral Hospital, Research centre and teaching hospital

ID:1179724566580649984

linkhttp://www.mnh.or.tz calendar_today03-10-2019 11:49:09

1,0K Tweets

14,7K Followers

7 Following

Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

'Experience State-of-the-Art Diagnostics Services with our CT-Angio at Muhimbili National Hospital'

Prof. Mohamed Janabi
Executive Director

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

* Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu kufanya Uchunguzi#*
Prof. Mohamed Janabi
Mkurugenzi Mtendaji

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

* MAPYA YA KIHARUSI MUHIMBILI* na Prof. Mohamed Janabi kupitia YouTube Channel- MuhimbiliTv….ni Jumapili hii, tarehe 28 Aprili, Saa NANE mchana.

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amewetaka viongozi wa MNH kutimiza majukumu yao kama inavyo takiwa ili kuwa mfano kwa watumishi wanao waongoza.

Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana Shirika lisilo la ki Serikali la Jhpiego Tanzania imetoa mafunzo maalum kwa wauguzi na wakunga yenye lengo la kutafuta watoa huduma mahiri watakao kuwa chachu ya kuleta mabadiliko kwenye jamii na kusaidia kupunguza mimba za utotoni.

*Ili Muhimbili kuendelea kushika kasi katika kutoa huduma bora na zinazokidhi viwango vya kimataifa, viongozi hawana budi kwenda sambamba na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.*

Prof.Mohamed Janabi
Mkurugenzi Mtendaji Muhimbili

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amesema ili Muhimbili kuendelea kushika kasi katika kutoa huduma bora na zinazokidhi viwango vya kimataifa, viongozi hawana budi kwenda sambamba na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila wakiwa katika mafunzo ya uongozi yaliyofadhiliwa na Mfuko wa Abbott Fund Tanzania yenye lengo la kuwajengea uwezo wa namna bora ya kuongoza na kuleta tija katika kutoa huduma za afya zinazokidhi viwango.

Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Taasisi ya Europian Society of Radiology ya nchini Marekani imeendesha mafuzo ya siku moja kwa wataalam juu ya namna ya kufanya tafiti mbalimbali za magonjwa ya saratani ya Ini.

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Hope ya nchini Marekani Dkt. Joseph Lubega kwa lengo la kuangalia maendeleo ya mradi wa kuwahudumia watoto wenye saratani wanaopatiwa matibabu hospitalini hapa.

*”SOTE TUNAJUA KWAMBA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI NDIO KITOVU CHA UMAHIRI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA NCHINI TANGU TUPATE UHURU”*

Dr. Hemed Nyembea
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Tiba Wizara ya Afya.Ummy Mwalimu, MP Dr. Hamisi Kigwangalla Hilda Newton

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa kuongeza kasi ya upatikanaji huduma kwa watu wenye magonjwa ya damu (HIMOFILIA) unaotekelezwa kwa pamoja kati ya nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda

Hospitali ya Taifa Muhimbili leo imezindua mashine mpya ya kisasa (Senographe Pristine 3d Mammography suite) yenye thamani ya TZS. 800 MIL yenye uwezo mkubwa wa kufanya uchunguzi wa saratani ya matiti kwa njia ya kisasa zaidi.