John Mango (@johnmango_) 's Twitter Profile
John Mango

@johnmango_

Mwanaume Bila MCHEPUKO Ni Sawa Na Taifa Bila Chama Cha Upinzani📌
Real Madrid🏟| CR7⚽️| 🇹🇿|

ID: 1269957578253045761

calendar_today08-06-2020 11:41:10

27,27K Tweet

7,7K Followers

4,4K Following

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Sometimes 2004 Episode 01 "Bi Zulfa.. Samahani kidogo nina jambo langu" Ndivyo alivyosikika Makoye akimueleza Bi. Zulfa mara alipofunguliwa mlango nyumbani kwa bibi Zulfa. Zulfa Mhina ni mwenyekiti wa mtaa wa Korongoni ulioko Njiro Arusha.

Sometimes 2004

Episode 01

"Bi Zulfa.. Samahani kidogo nina jambo langu"

Ndivyo alivyosikika Makoye akimueleza Bi. Zulfa mara alipofunguliwa mlango nyumbani kwa bibi Zulfa.

Zulfa Mhina ni mwenyekiti wa mtaa wa Korongoni ulioko Njiro Arusha.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikiliza RAIS. Binafsi, sijashaangaa, sikutegemea kauli au jambo jipya sana. Lakini, wasaidizi wake hawamuelezi ukweli. Hawamsaidii na wanamuharibia taswira yake. Hotuba ya leo imebeba majibu ya maswali yetu muhimu. Tupo gizani vizuri kabisa. Anyways, tusome KUTOKA 14:14.

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

BARAKA MAVIATU anasema hawa chawa wa siasa ingekuwa kipindi cha Mababu zetu ndio wangekuwa wanatuuza utumwani wao kama madalali😂

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Hongera kwa Jeshi la Polisi kwa kutimiza miaka 60. Nimetazama sherehe zenu. Sehemu kubwa ya maonesha yenu ilionesha uwezo mkubwa kudhibiti raia kuliko kuwalinda. Ushauri wangu, ongezeni nguvu kwenye kulinda raia na mali zao, kuliko kwenye udhibiti na matumizi ya mabavu.

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Giza haliwezi kuondoa giza, ni mwanga pekee unaoweza kuondoa giza, Chuki haiwezi kuondoa chuki, upendo ndio unaoweza kuondoa chuki. ~ Martin Luther King Jr.

Giza haliwezi kuondoa giza, ni mwanga pekee unaoweza kuondoa giza, Chuki haiwezi kuondoa chuki, upendo ndio unaoweza kuondoa chuki. ~ Martin Luther King Jr.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

RAIS anasema kuna KIONGOZI wa nchi fulani amenusurika mara mbili KUUWAWA kwa risasi. Serikali inachunguza. Amesahau, US Secret Service Director, Kimberly A. Cheatle aliitwa bungeni kuhojiwa na AKAJIUZULU na WAHUSIKA waliuwawa na kukamatwa. Kwetu, hayupo ALIYEJIUZULU au KUKAMATWA.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Nani mwandishi wa hotuba za Rais SSH? Jana alisoma hotuba yake ambayo ilisheheni vitisho, ubabe na hasira nyingi. Lakini press briefing ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu haikunukuu sehemu kubwa ya hotuba hiyo. Je, kurugenzi hiyo haina uhusiano kabisa na mwandishi wa hotuba za Rais?

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Hii kamba ngumu, ujue tunavutana na wenye nguvu, vitambi na mashavu. Hakuna tena fair game, referee kauzu, uwanja wenyewe mkavu. Artist: Fr. Nelly (Xplasters) Song: Nini dhambi kwa kwenye dhiki Yaani hakuna fair game, refarii kauzu, uwanja mkavu, ukipigwa buti anapeta

Askofu Emmaus B Mwamakula (@emmausaskofu) 's Twitter Profile Photo

Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii hawezi kunyakuliwa kama mwizi.

Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii hawezi kunyakuliwa kama mwizi.
Dullah_theKing🎶 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

👉🏽Hallelujah🎶 👉🏽African Beauty🎶 👉🏽Nitampata wapi🎶 👉🏽Ukimuona🎶 👉🏽Nitarejea🎶 👉🏽I miss you🎶 👉🏽Kesho🎶 👉🏽Moyo wangu🎶 👉🏽Yatapita🎶 👉🏽Lala salama🎶 SIMBA 🔥

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Imagine unatumia nguvu zako kukisaidia kikundi kidogo cha watu kiwe madarakani kienjoi life na familia zao ili kikulipe mshahara mdogo ,kikukalishe kota chafu kikufanyishe na dhambi ukifa unaenda motoni yani unateseka ukiwa hai na ukifa