John Mango(@johnmango_) 's Twitter Profileg
John Mango

@johnmango_

Mwanaume Bila MCHEPUKO Ni Sawa Na Taifa Bila Chama Cha Upinzani📌
Real Madrid🏟| CR7⚽️| 🇹🇿|

ID:1269957578253045761

calendar_today08-06-2020 11:41:10

24,9K Tweets

6,9K Followers

4,5K Following

Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

ADEMOLA LOOKMAN, alitaka kuisaliti mizimu ya Babu zake Nigeria lakini akakumbuka shuka kumekucha, ni damu halisi ya Wazazi kutoka Nigeria ingawa amezaliwa England, akatisha na UNDER 17 yao na kubeba nao ubingwa wa dunia, kila Nigeria walipotaka avae uzi wa Super Eagles aligoma

ADEMOLA LOOKMAN, alitaka kuisaliti mizimu ya Babu zake Nigeria lakini akakumbuka shuka kumekucha, ni damu halisi ya Wazazi kutoka Nigeria ingawa amezaliwa England, akatisha na UNDER 17 yao na kubeba nao ubingwa wa dunia, kila Nigeria walipotaka avae uzi wa Super Eagles aligoma
account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

👉🏽NANDY yupo Smart sana katika malezi ya 'Yammi' katika Muziki wake aisee, angeweza kufanya nae kazi toka ngoma ya kwanza kabisa ila aliamini katika 'Wakati Sahihi'....

Aliamua kumtanguliza bidada mwenyewe ili watu waukubali uwezo wake bila ushawishi wa msanii yoyote

👉🏽NANDY yupo Smart sana katika malezi ya 'Yammi' katika Muziki wake aisee, angeweza kufanya nae kazi toka ngoma ya kwanza kabisa ila aliamini katika 'Wakati Sahihi'.... Aliamua kumtanguliza bidada mwenyewe ili watu waukubali uwezo wake bila ushawishi wa msanii yoyote
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Hivi mi nikijipanga yaan ile kujiandaa kisaikolojia nikaacha kula na kununua vocha si naweza kununua V8 kweli🥲

account_circle
John Mango(@johnmango_) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni wa pekee. Mafundi na watumiaji wengi wa pikipiki hatuna elimu ya namna hii, tunajua kuongeza mafuta, kubadili taili, taa, hizi plugs na marekebisho madogo lakini wengi hatujui kumbe kuna vitu vingi vya kufuatilia kwenye pikipiki.

account_circle
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿(@EsirEid) 's Twitter Profile Photo

Hello ,

Natumai kesho UtaruhusiwA kufanya mtihani…

Wewe ni miongoni mwa tuliokutana pale kwa John kalage 🇹🇿 na ombi lako lilikuwa kulipiwa ada ili uendelee na mitihani na ukubaliwe shuleni.

Natumai hii itasaidia…

I wish you nothing but the best in your exams…

Chukua hio

Hello , Natumai kesho UtaruhusiwA kufanya mtihani… Wewe ni miongoni mwa tuliokutana pale kwa @kalage_jr na ombi lako lilikuwa kulipiwa ada ili uendelee na mitihani na ukubaliwe shuleni. Natumai hii itasaidia… I wish you nothing but the best in your exams… Chukua hio
account_circle
John Mango(@johnmango_) 's Twitter Profile Photo

La Liga inarudi Azam TV ? Mmetisha sana, hii ndo ilinifanya ninunue Kisimbuzi bahati mbaya sikuikuta..🙌🙌🙌🙌

account_circle
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷(@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Sema wanangu ukitaka kutoboa sahau kuhusu PASSION

Kubali tu kwa miaka Passion/Elimu yako imeshindwa kukunufaisha(Kiuchumi)

Anza kitu kingine

Mwaka wa 3 huu kitaa sijatoboa ila Kila siku napata viHela kwa Cryptos, Graphics, Udalali&gigs zingine

Vitu hata sina passion navyo

account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Raia walikuwepo baadhi walishuhudia sema walinambia kama wangesogea kunisaidia wale Jamaa wangenikata na mapanga na kuniumiza kama wasingepata kitu ndio maana waliwaacha wachukue tu ili nibaki salama maana ni kama pale mtaani huo mchezo wanaujua upo mikocheni kinondoni na Morocco

account_circle
nikki_wa111(@NikkiWa111) 's Twitter Profile Photo

JALADA #26: - THREAD -

'WAHUNI' WALITAKA KUPINDUA SERIKALI YA CONGO-DRC?

▪︎Wana-mapinduzi wanajirekodi facebook?
▪︎Baada ya kuingia mjengoni, hawana next move?
▪︎Wamefanikiwa kudhibitiwa, ila kuna karata wameicheza, inahitaji akili kuitegua!

A Maswali Thread.

JALADA #26: - THREAD - 'WAHUNI' WALITAKA KUPINDUA SERIKALI YA CONGO-DRC? ▪︎Wana-mapinduzi wanajirekodi facebook? ▪︎Baada ya kuingia mjengoni, hawana next move? ▪︎Wamefanikiwa kudhibitiwa, ila kuna karata wameicheza, inahitaji akili kuitegua! A Maswali Thread.
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Kwa niaba ya Boniyai Company Ltd, kupitia taasisi yetu Boniyai foundation nitamchangia Shillingi million 2 Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu

Kwa ajili ya Kutengeneza gari yake au Kununua gari mpya kwa jinsi Mh Lissu atakavyo ona inafaa.

Kwa niaba ya Boniyai Company Ltd, kupitia taasisi yetu Boniyai foundation nitamchangia Shillingi million 2 Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Kwa ajili ya Kutengeneza gari yake au Kununua gari mpya kwa jinsi Mh Lissu atakavyo ona inafaa.
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Kwa msaada wa James Munisi na Dream_ online shop. nimefanikiwa kurudi hewani nimepata simu ya kutumia kwa muda wakati najipanga kununua nyingine na kushughulikia kurudisha leseni na passport Asante kwa mlionipa pole meseji ni nyingi najitahidi kuzijibu zote na Comments Mungu

account_circle