Zee la Vyeti (PhD) (@babalao__) 's Twitter Profile
Zee la Vyeti (PhD)

@babalao__

๐—ญ๐—ฒ๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ผ, ๐—ฃ๐—ต๐—— , Zebedayo โœชInfluencer โœช Content Creator โœช

ID: 1247933313106554883

calendar_today08-04-2020 17:04:43

185,185K Tweet

552,552K Followers

6,6K Following

Paulo na Sila ๐Ÿฉธ (@paulonasilla) 's Twitter Profile Photo

Muonekano wa Shule Shikizi ya Irangi kabla na baada ya ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa. Shilingi milioni 40 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu zimefanikisha ujenzi wa madarasa mawili na sasa wanafunzi wanasoma katika mazingira bora na salama. #MamaAnafanikisha

Muonekano wa Shule Shikizi ya Irangi kabla na baada ya ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa.

Shilingi milioni 40 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu zimefanikisha ujenzi wa madarasa mawili na sasa wanafunzi wanasoma katika mazingira bora na salama.

#MamaAnafanikisha
Paulo na Sila ๐Ÿฉธ (@paulonasilla) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato uliopo jijini Dodoma umefikia hatua ya asilimia 72 katika ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua ndege, wakati jengo la abiria likiwa limekamilika kwa asilimia 39. #MamaYukoKazini

Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato uliopo jijini Dodoma umefikia hatua ya asilimia 72 katika ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua ndege, wakati jengo la abiria likiwa limekamilika kwa asilimia 39.
#MamaYukoKazini
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Ifanye biashara yako iendelee kung'aa! Mikopo ya kukombolea mizigo bandarini, bima za biashara yako, na malipo rahisi kwa wateja, yote yapo mikononi mwetu. Tembelea tawi la CRDB ufungue akaunti ya Biashara leo! #SwahibaLanguLako.

Ifanye biashara yako iendelee kung'aa! 

Mikopo ya kukombolea mizigo bandarini, bima za biashara yako, na malipo rahisi kwa wateja, yote yapo mikononi mwetu. Tembelea tawi la CRDB ufungue akaunti ya Biashara leo!

#SwahibaLanguLako.