Joel Alex (@joelkivuyo) 's Twitter Profile
Joel Alex

@joelkivuyo

Wewe ni Kila, jitukuze kwa watoto wako.
ee Mungu wa Mbinguni usinyamaze kwani wewe ni baba.
naomba usinyamaze, jitukuze EeYesu wangu

ID: 717210801514393602

calendar_today05-04-2016 04:42:35

5,5K Tweet

1,1K Followers

5,5K Following

TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

Tunawataka TBS na Wizara ya Viwanda na Biashara kuchukua hatua sasa! SERA madhubuti za kuondoa mafuta yenye #TransFats yanayozalishwa viwandani zitaokoa maisha, kupunguza gharama za huduma za afya na kuboresha afya ya jamii kwa ujumla. dailynews.co.tz/tawla-calls-fo… #TransFatFreeTZ

Tunawataka <a href="/TBS_Tanzania/">TBS</a>  na <a href="/ViwandaBiashara/">Wizara ya Viwanda na Biashara</a> kuchukua hatua sasa!

SERA madhubuti za kuondoa mafuta yenye #TransFats yanayozalishwa viwandani zitaokoa maisha, kupunguza gharama za huduma za afya na kuboresha afya ya jamii kwa ujumla. 

dailynews.co.tz/tawla-calls-fo…

#TransFatFreeTZ
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

TUNDU LISSU Na PETTER KIBATALA Wakimtetea WEMA SEPETU Aliyekua Anakabiliwa Na Kesi Ya BANGI Wakati Huo WEMA Ni Kada Wa Chadema Na MAKONDA Ni Mkuu Wa Mkoa Wa DAR. Wema Alifanyiwa Vurugu Nyingi Na CCM Akasalimu Amri Akahamia CCM Hii Ilikua 15/8/2017 7/9/2017 LISSU Akapigwa Risasi

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Baada ya mwenyekiti kukamatwa operation #NoReformsNoElection ilikuwa haijamalizika Kanda ya nyasa Makamo Mwenyekiti akishirikiana na viongozi na wanachama wengine walipambana wakaimaliza wakaingia Kanda ya pwani na Sasa Ni Serengeti,Tumpe heshima anafanya kazi kubwa Sana

Baada ya mwenyekiti kukamatwa operation #NoReformsNoElection ilikuwa haijamalizika Kanda ya nyasa Makamo Mwenyekiti  akishirikiana na viongozi na wanachama wengine walipambana wakaimaliza wakaingia Kanda ya pwani na Sasa Ni Serengeti,Tumpe heshima anafanya kazi kubwa Sana
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

"CCM wanafikiri kwamba wanaweza kuiua CHADEMA, kwa sababu wameachwa na historia, huko nyumba waliinyanyua NCCR wakaiangusha wakainyanyua CUF, wakiona kimeshakuwa chama kikubwa wanakiangusha, wakafikiri sisi CHADEMA tunaweza kutumika wasahahu, na hiki chama sio kile unachoweza

"CCM wanafikiri kwamba wanaweza kuiua CHADEMA, kwa sababu wameachwa na historia, huko nyumba waliinyanyua NCCR wakaiangusha wakainyanyua CUF, wakiona kimeshakuwa chama kikubwa wanakiangusha, wakafikiri sisi CHADEMA tunaweza kutumika wasahahu, na hiki chama sio kile unachoweza
Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Bukoba Mjini jana✌🏾🔥 NB: Wabongo mpo lakini mkiitwa sasa ndio MTOKE… #NoReformsNoElection #FreeLissu #FreeMdude

Asante sana Bukoba Mjini jana✌🏾🔥
NB: Wabongo mpo lakini mkiitwa sasa ndio MTOKE…
#NoReformsNoElection
#FreeLissu
#FreeMdude
Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Hawa VIJANA, (meaning huyu Gambo na Bashite) wote wanatakiwa kuhojiwa na POLISI… Ukimsikiliza huyu, kuna mambo wanayajua vizuri kuhusu KUUMIZA watu hapa NCHINI… NB: Shida ni hao polisi wa kuwahoji sasa! Labda mpaka waje FBI😎

King Senior (@seniorking01) 's Twitter Profile Photo

SMS 12 ZA MAHABA THREAD Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako usiku huu NB- Zitafufua tena Penzi lenu lililodhoofu na kulifanya kustawi tena. -Thread 🧵

SMS 12 ZA MAHABA THREAD

Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako usiku huu

NB- Zitafufua tena Penzi lenu lililodhoofu  na kulifanya kustawi tena.

-Thread 🧵
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo

Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.

MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA

Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo
Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Naombenj muwatag wale #Njaa55 waje waone wananchi huku wanachokitaka 😅 SATIVA17 wananchi hao wenye chama wametuma ujumbe mzito kwa wapenda nyama , hela na pombe za bure 😂. Kanda ya Ziwa ni CHADEMA 😃

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ilibidi tushuke chini ya Jukwaa ili kukubali kunyeshewa na mvua na wananchi ili kazi isikwame. Tafadhali endelea na Tone Tone 0744446969

𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Ukipigia customer care chagua tu English ndo wanapokea haraka halafu waongeleshe kiswahili😄 Ninafanyaga hivi eateli leo nimejaribu presisheni ea🫵🏾😂

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

#NoReformsNoElection ni wazo la kila mtu timamu, mliokaa huko MbogaMboga semeni kama huyu mdau acheni kusema tuko pamoja Msimuogope Samia na vibaka wachache waliomzunguka

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

KAMATI KUU YA MBINGUNI IMEKETI TENA LEO NA IMEENDELEA KUITENDEA WEMA CHADEMA KWA KUONDOA MADALALI , WALANGUZI KTK MBIO ZA KUPIGANIA HAKI , UTU NA USAWA KTK CHAMA HICHO. Msemaji Wa Kamati Kuu Ya Mbinguni.

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Yaani haingii akilini kwa UROHO WA UBUNGE kweli mpinzania unahama CHADEMA badala ya kwenda ACT WAZALENDO mshike dola unakwenda CHAUMA ili magawane kura na ACT na CCM ishinde uchaguzi Mtu kasema ,,,,

MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Askofu Emmaus Mwamakula akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza muda huu katika ziara ya Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi ya CHADEMA.