Jacob Mwambusi (@jmwambusi2) 's Twitter Profile
Jacob Mwambusi

@jmwambusi2

Husband, Father, Brother, Friend.

ID: 1448167130105528320

calendar_today13-10-2021 06:02:18

28,28K Tweet

9,9K Takipรงi

3,3K Takip Edilen

SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ambapo hadi kufikia Februari, 2025 kilomita 13,820 kati ya 16,280 zimejengwa na kuunganisha wilaya 109 kati ya 139 pamoja na vituo 111 vya kutolea huduma za Mawasiliano.

Tayari imekamilisha ujenzi wa vyuo vipya 29 vya ufundi stadi ambavyo vimechangia kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi wa ufundi stadi kutoka 415,131 mwaka 2023/2024 hadi 425,509 mwaka 2024/2025.

Katika kipindi cha Novemba, 2020 hadi Machi, 2025 Makusanyo halisi ya mapato ya ndani ya halmashauri yameongezeka kutoka shilingi bilioni 757.05 mwaka 2020/21 hadi shilingi trilioni 1.15 mwaka 2023/24 sawa na asilimia 77. Fedha za mapato ya ndani zilizopelekwa katika miradi ya

Katika kipindi cha Novemba, 2020 hadi Machi, 2025

Makusanyo halisi ya mapato ya ndani ya halmashauri yameongezeka kutoka shilingi bilioni 757.05 mwaka 2020/21 hadi shilingi trilioni 1.15 mwaka 2023/24 sawa na asilimia 77.
Fedha za mapato ya ndani zilizopelekwa katika miradi ya
SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeendelea kutekeleza mkakati wa kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wafanyabiashara ndogondogo. Hadi Februari 2025, tayari wafanyabiashara 63,222 wamesajiliwa. Aidha, shilingi bilioni 8 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya mikopo yenye mashartinafuu kwa

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara Karibu kufuatilia ziara hiyo kupitia vyombo vya Habari na Mitandao yetu ya Kijamii Kazi na Utu , Tunasonga Mbele

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara

Karibu kufuatilia ziara hiyo kupitia vyombo vya Habari na Mitandao yetu ya Kijamii 

Kazi na Utu , Tunasonga Mbele
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—ก๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ถ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ด๐—ต๐˜‚๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—บ๐—ถ. #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele

๐—ก๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ถ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ด๐—ต๐˜‚๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—บ๐—ถ.

#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi Machi 2025, serikali imeajiri wataalamu wa afya 34,720. #MamaAnafanikisha upatikanaji wa huduma bora za afya karibu na wananchi. #KaziNaUtuTunasongaMbele

Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi Machi 2025, serikali imeajiri wataalamu wa afya 34,720.

#MamaAnafanikisha upatikanaji wa huduma bora za afya karibu na wananchi.

#KaziNaUtuTunasongaMbele
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Urefu wa barabara za vijijini na mijini zilizojengwa kwa kiwango cha lami umeongezeka. โœ…Mwaka 2020 - kilomita 2.025 โœ…Mwaka 2025 - Kilomita 3,467.30 Hii ni hatua kubwa kuelekea kuimarisha usafiri, kukuza uchumi wa ndani na kuunganisha maeneo. #MamaAnafanikisha

Urefu wa barabara za vijijini na mijini zilizojengwa kwa kiwango cha lami umeongezeka.

โœ…Mwaka 2020 - kilomita 2.025
โœ…Mwaka 2025 - Kilomita 3,467.30

Hii ni hatua kubwa kuelekea kuimarisha usafiri, kukuza uchumi wa ndani na kuunganisha maeneo.

#MamaAnafanikisha
SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetoa mikopo ya shilingi bilioni 158.50 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ambapo shilingi bilioni 63.40 ni wanawake (vikundi 8,576), shilingi bilioni 63.40 ni vijana (vikundi 4,981) na shilingi bilioni 31.70 watu wenye ulemavu (vikundi 2,319)

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—›๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ต๐—ฒ. ๐—ฅ๐—ฎ๐—ถ๐˜€ ๐——๐—ธ๐˜ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐—น๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ผ. #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele

๐—›๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ต๐—ฒ. ๐—ฅ๐—ฎ๐—ถ๐˜€ ๐——๐—ธ๐˜ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐—น๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ผ.

#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi mwaka 2025 serikali imeajili walimu 44,527 wakiwemo walimu 447 wa elimu maalumu. Huu ni utekelezaji wa vitendo wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (2020-2025). #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele

Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi mwaka 2025 serikali imeajili walimu 44,527 wakiwemo walimu 447 wa elimu maalumu.

Huu ni utekelezaji wa vitendo wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (2020-2025).

#MamaAnafanikisha
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐€๐™๐ˆ๐๐†๐ˆ๐‘๐€ ๐๐Ž๐‘๐€ ๐™๐€๐ˆ๐ƒ๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐’๐Ž๐Œ๐„๐€ ๐๐€ ๐Š๐”๐…๐”๐๐ƒ๐ˆ๐’๐‡๐ˆ๐€ #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele

๐Œ๐€๐™๐ˆ๐๐†๐ˆ๐‘๐€ ๐๐Ž๐‘๐€ ๐™๐€๐ˆ๐ƒ๐ˆ ๐˜๐€ 
๐Š๐”๐’๐Ž๐Œ๐„๐€ ๐๐€ ๐Š๐”๐…๐”๐๐ƒ๐ˆ๐’๐‡๐ˆ๐€

#MamaYukoKazini  
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฌ๐—ข๐—š๐—จ๐—ฆ๐—” ๐— ๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜ #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele

๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฌ๐—ข๐—š๐—จ๐—ฆ๐—” ๐— ๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜

#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐€๐๐ˆ๐๐ƒ๐”๐™๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐–๐„๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐ˆ๐‹๐ˆ๐Œ๐Ž ๐’๐‡๐€๐Œ๐๐€๐๐ˆ ๐‡๐€๐ƒ๐ˆ ๐’๐Ž๐Š๐Ž๐๐ˆ #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele

๐Œ๐€๐๐ˆ๐๐ƒ๐”๐™๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐–๐„๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐ˆ๐‹๐ˆ๐Œ๐Ž ๐’๐‡๐€๐Œ๐๐€๐๐ˆ ๐‡๐€๐ƒ๐ˆ ๐’๐Ž๐Š๐Ž๐๐ˆ 

#MamaYukoKazini  #KaziNaUtuTunasongaMbele
Jacob Mwambusi (@jmwambusi2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ›‘ TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAARIFA ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII IKIWAHUSISHA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUZUIA MOJA YA BASI KATIKA KITUO CHA KIMARA MWISHO.

๐Ÿ›‘ TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAARIFA ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII IKIWAHUSISHA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUZUIA MOJA YA BASI KATIKA KITUO CHA KIMARA MWISHO.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐”๐‚๐‡๐”๐Œ๐ˆ ๐ˆ๐Œ๐€๐‘๐€ ๐๐ˆ ๐Œ๐€๐“๐Ž๐Š๐„๐Ž ๐˜๐€ ๐”๐Ž๐๐†๐Ž๐™๐ˆ ๐ˆ๐Œ๐€๐‘๐€ #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele