Dotto Rangimoto
@jinikinyonga
Poet|Novelist|1st Runner-up @tuzonyerere 2024| Won @KiswahiliPrize 2022 (fiction)|1st Runner-up @KalahariStories 2020|Won @KiswahiliPrize 2017 (poetry) 🇹🇿🇨🇳
ID: 474834093
26-01-2012 11:50:14
107,107K Tweet
27,27K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Leo Novemba 14, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amefanya kikao na viongozi wa majimbo ya Mkoa wa Dar es salaam. Madhumuni ya kikao ni kutafakari yaliyojiri kabla, wakati na baada ya uchaguzi na mauaji ya Oktoba 29. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Tanduru Kaskazini, Ado Shaibu. Bwana Noel Chilemba ameteuliwa kuwa Katibu wa Mbunge. Kazi imeanza🚀✈️ imeanza kwa kasi sana!
Nabii wa mchongo Godbless E.J. Lema unataka Ndolezi akulipe 1bil au siyo?Unatutisha kwa kutumia sheria kandamizi za cyber tunazopambana zifutwe ili tupate uhuru wa maoni Hautalipwa hata sh kumi. Ukitaka kulipwa japo sh10 twambie kwanza Zitto MwamiRuyagwa Kabwe alikudalalia nini kima wewe.
TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACTWazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais Samia Suluhu kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
📍VUGA ZANZIBAR Leo Novemba 23, 2025 Kikao cha kamati ya uongozi ya chama cha ACTWazalendo kimekaa leo katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu Zanzibar. Kikao kimehudhuriwa na viongozi wa juu chini ya Mwenyekiti wake ambaye ni KC Dorothy Semu kitajidili masuala mbali mbali ikiwemo
📍VUGA ZANZIBAR Leo Novemba 23, 2025 Kikao cha kamati ya uongozi ya chama cha ACTWazalendo kimekaa leo katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu Zanzibar. Kikao kimehudhuriwa na viongozi wa juu chini ya Mwenyekiti wake ambaye ni KC Dorothy Semu.
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu atafanya Mkutano wa Hadhara Viwanja vya Baraza Idi Tunduru. Madhumuni ya Mkutano ni kuwashukuru wa Wananchi kwa kumchagua kuwa Mbunge wao. Siku: Novemba 30, 2025 Muda: Saa 9 Alasiri #TunduruKaskazini ACTWazalendo
Jana viongozi wa ACTWazalendo wamemsikiliza Mwenyekiti wa Tume inayoitwa Huru ya Uchunguzi. Msimamo wa ACT ni uleule uliotolewa Novemba 18, 2025 na Katibu Mkuu Ado Shaibu. 👉🏿Tume ya Jaji Chande ni dhihaka kwa waathirika wa mauaji ya Oktoba 2025. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Jana viongozi wa ACTWazalendo wamemsikiliza Mwenyekiti wa Tume inayoitwa Huru ya Uchunguzi. Msimamo wa ACT ni uleule uliotolewa Novemba 18, 2025 na Katibu Mkuu Ado Shaibu. 👉🏿Tume ya Jaji Chande ni dhihaka kwa waathirika wa mauaji ya Oktoba 2025. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
"Kwanza kiri kosa, kwamba vijana wa Kitanzania wameuliwa na vyombo vya usalama. Unaombaje maridhiano hukubali kama umeua na walioua hawajachukuliwa hatua yoyote?" Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿 ACTWazalendo #TaifaKaWote #MaslahiYaWote
Kinachoendelea nchini ni kusalimisha siasa kwa vyombo vya dola. KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ameonya madhara ya kitendo hicho. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo
Kinachoendelea nchini ni kusalimisha siasa kwa vyombo vya dola. KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ameonya madhara ya kitendo hicho. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo