
abihudi pallangyo
@jieyhmah13
so calm within the eye of a huge storm
ID: 1481480716252758017
13-01-2022 04:19:11
136 Tweet
2,2K Takipçi
82 Takip Edilen

Nchi si ya kiongozi yoyote, ni wananchi hivyo ni wajibu wa wananchi kukosoa na kutoa maelekezo namna nchi inatakiwa kuendeshwa. — abihudi pallangyo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/4bBhsCE


🔥 NO STONE WILL BE LEFT UNTURNED🔥‼️ Tanganyika Lost Society mtarudi kuwa Law Society soon! Haya majaji wastaafu Joaqaine De Mello na Robert Makaramba na leseni zao 👇🏾 Muda huu e-wakili inaonyesha hamjahuisha leseni 🔨 Ila Sungusia the Advocate na genge lako hapo Tanganyika Law Society(TLS)



Hakuna serikali yeye sifa kama serikali yetu sisi tuna kikundi cha wezi walioamua kuwa na katiba yenye kuwawezesha kuiba mali za umaa. — abihudi pallangyo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/4eWyLAX



Wananchi tumefanywa kama wapangaji kwenye nchi yetu na CCM ndio wenye nyumba. Mamlaka yanatakiwa kuwa ya wananchi na mamlaka ya mwisho yasiwe kwa serikali. — abihudi pallangyo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/ncB2tbd97…


Kila mtu anayeongea ukweli kuhusu serikali hii huwa anakuwa matatani kwa sababu haki za wananchi zinakandamizwa na katiba hii ya sasa na kuwapa mamlaka serikali ya kufanya wanavyotaka. . — abihudi pallangyo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/frA03nvW_…


Kama kuna KOSA ambalo Serikali ya Tanzania chini ya Samia Suluhu ITAKUJA KUJUTIA MILELE, ni KURUHUSU Mpigania Haki MASHUHURI, kijana DEUSDEDITH SKA, “APOTEE”.


Peter Madeleka, kaka, wewe ni mmoja wa watu kidogo sana duniani ambao wakiniambia “Mungu yupo” siwezi kubisha. Kazi unayofanya, kaka, ni utumishi. Mungu wenu, kulingana na imani yenu, wewe na familia yako, azidi kuwalinda na awape maisha marefu na yenye afya njema. Mbarikiwe!







✊🏽 DEUSDEDITH SOKA OUR HERO‼️🙌🏽 Fearless, generous and bold DEUSDEDITH SOKA is a natural born leader! Samia Suluhu is DIRECTLY responsible for his enforced disappearance Tell Samia to #FreeDeusdedithSoka Umetuita mbwa, sawa tukana ila RUDISHA vijana wetu! #FreeDeusdedithSoka





