Felix Jay (@jay_mwara) 's Twitter Profile
Felix Jay

@jay_mwara

@arsenal ⚽️/ God first🙏 ,

An intelligent enemy is better than a stupid friend.

ID: 1897363717

calendar_today23-09-2013 13:36:06

2,2K Tweet

413 Followers

137 Following

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia Suluhu sisi hatuna chuki na viongozi hata kidogo ila hatutaki kuongozwa na watu wasio na sifa..tunafurahi kuona unatusikiliza wanao..kazi iendelee,ikikupendeza pita na spika😂😂

Rubanzibwa Ndyamukama (@joshuasultanpt) 's Twitter Profile Photo

Mmeiona clip ya askari wa Ruvu JKT aliemkimbiza chatu mwenyewe akapambana hadi kumuua? Hii hapa then ( video kwa hisani ya idara ya habari Ruvu JKT)

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

UTARATIBU WA MKRISTU MKATOLIKI KANISANI👇🏻👇🏻👇🏻 •Ninapoingia Kanisani, nachovya maji ya baraka na kusema "Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina! •Ninapiga goti huku

UTARATIBU WA MKRISTU MKATOLIKI KANISANI👇🏻👇🏻👇🏻

•Ninapoingia Kanisani, nachovya maji ya baraka na kusema "Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina! 

•Ninapiga goti huku