Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile
Kimaro Jr⚽

@jameskimaro926

Sport content Creator

ID: 1632618565927854083

calendar_today06-03-2023 05:46:41

3,3K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

Ukiona unapenda kusema "chochote" Unashida kubwa . Mf . Unakunywa soda gan yoyote Unapenda rangi Gani yoyote Unataka twende wapi popote tu Wew nimpumbavu badilika

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

Wanafall kweny wanaume ambao wanapendwa na wanawake wengi nature hawapendagi kitu Cha tofauti wanapenda kinachovutiwa na wengi so ukijitilisha huruma kwamba upo humble huna safar ndefu Hii ni asili🤣🤣🤣

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

ukiingia tsap ukakuta mtu ametuma text tsap na kuifuta usiulize usihukumu usihoji acha potezea coz ingekuwa niya maana angeiacha. Psychology ya binaadamu itaonyesha kuheshimu usipoonyesha kujali.

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

Usilie lie hamna Muda wa watu kukusikiliza dunia Haina Muda na watu wanyonge , Dunia ishauza nafasi ya mnyonge pambana Kwa nafasi yako.

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa una tabirika ni rahisi sana kuchokwa lakin ukiwa hautabiriki ni rahisi kupata vitu vingi zaid, binadam wanatabia ya kutafuta kitu ambacho hakina uhakika wa kupatikana.

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

Kama hauwezi kuingiza kiasi wanachoingiza wao basi usitumie kama wanavyotumia wao. Mwanangu tunatumia majira yenye tofauti ya nyakati.

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

sponser hatoi maisha anakupa tu comfort ya muda hawezi kukupa uchumi utakaokupa uhuru wa kujitegemea Kwan ni sawa na kujipiga risasi mwenywe atakuendesha vip?

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu anataka kwenda mbinguni lakini hakuna anaetaka kufa , ndio maana watu wengi hawapo tayar kulipa gharama za mafanikio.

Kimaro Jr⚽ (@jameskimaro926) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio huanza pale unapokataa kujificha na kuamua kuwa wew bila kuangalia Nan anasema nn??? Kila mtu ana njia yake ishi maono yako na ndoto zako, tunaishi mara moja!!!