Laizer Jr (@jacobolaizer) 's Twitter Profile
Laizer Jr

@jacobolaizer

Absolutely || fan @SimbaSCTanzania @realmadrid & @LFC || Activist of life || M4C 4life..✌️

ID: 1086647068767256576

calendar_today19-01-2019 15:30:24

75,75K Tweet

20,20K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Historia ya chaguzi zetu (2019, 2020, 2024) imenishawishi kuwa uchaguzi wa 2025, bila mabadiliko, hautakuwa huru. #IamTunduLissu

Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

Mwanademokrasia wa kweli, mpenda haki wa kweli, jasiri wa kweli. Amejitoa kwaajili ya Watanzania wote. Mungu amtunze sana. #IamTunduLissu #IamTunduLissu #IamTunduLissu

Mwanademokrasia wa kweli, mpenda haki wa kweli, jasiri wa kweli. Amejitoa kwaajili ya Watanzania wote. Mungu amtunze sana. 
#IamTunduLissu 
#IamTunduLissu
#IamTunduLissu
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kesi ya uhaini aliyopewa Mwalimu wangu na Mwenyekiti wetu, Wakili Msomi Mwandamizi Tundu AM Lissu, itaanza kusikilizwa tarehe 8.9.2025. Sisi Mawakili wake tuko tayari. Yeye yuko tayari. We will be there no matter what. #IamTunduLissu #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection

Kesi ya uhaini aliyopewa Mwalimu wangu na Mwenyekiti wetu, Wakili Msomi Mwandamizi Tundu AM Lissu, itaanza kusikilizwa tarehe 8.9.2025.

Sisi Mawakili wake tuko tayari. Yeye yuko tayari. 

We will be there no matter what. 

#IamTunduLissu #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Leo TANZANIA Tumeamka na taarifa za UTEKAJI kutoka chombo bora cha utangazaji wa habari DUNIANI (BBC). Mimi Muhanga wa UTEKAJI unaoendelea kwenye nchi nilifikiwa na BBC na kufanya mahojiano ambayo SIKUFICHA KITU. Nilieleza Ukweli wote. Taarifa ya UN inaeleza kumekuwa na

Leo TANZANIA Tumeamka  na taarifa za UTEKAJI kutoka chombo bora cha utangazaji wa habari DUNIANI (BBC).

Mimi Muhanga wa UTEKAJI unaoendelea kwenye nchi nilifikiwa na BBC na kufanya mahojiano ambayo SIKUFICHA KITU. Nilieleza Ukweli wote.

Taarifa ya UN inaeleza kumekuwa na
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Habari yangu mpaka sasa imepostiwa kwa LUGHA 8 kubwa duniani. UTEKAJI tanzania umeandikwa kwa ukubwa unaostahili. Asante sana BBC News (World) Huu ni mwanzo, mpaka Mungu aseme “inatosha Mwanangu” #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Habari yangu mpaka sasa imepostiwa kwa LUGHA 8 kubwa duniani.

UTEKAJI tanzania umeandikwa kwa ukubwa unaostahili. Asante sana <a href="/BBCWorld/">BBC News (World)</a> 

Huu ni mwanzo, mpaka Mungu aseme “inatosha Mwanangu”

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

Tanzanian activist Edgar Mwakabela, known as Sativa, says he was kidnapped, beaten and shot after criticising the ruling party. He blames security forces, as abductions of government critics rise ahead of October’s election. bbc.in/4p9Y1sU

Tanzanian activist Edgar Mwakabela, known as Sativa, says he was kidnapped, beaten and shot after criticising the ruling party.

He blames security forces, as abductions of government critics rise ahead of October’s election.
bbc.in/4p9Y1sU
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Taarifa za kuvamiwa kwa Jamii Forums ni Shambulio dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya uhuru wa wananchi. Huu ni uthibitisho mwingine mwa namna Nchi hii inateleza kuingia kwenye giza kubwa la udikteta. Tunalaani kwa nguvu zote.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Ambulance yenye wagonjwa kusimamishwa ili msafara wa gari zaidi ya 150 za mgombea mshenzi wa mbogamboga upite ni kitendo cha kipumbavu sana. We need a new dawn!!