James
@mengo_james
Agriculture Specialist|| Father|| Yanga Fc|| Man UTD Fans
ID: 2417881528
17-03-2014 15:45:09
4,4K Tweet
143 Takipรงi
347 Takip Edilen
Nalaani hatua ya Serikali kumzuia Mwanasheria Martha Karua SC pamoja na mawakili wengine wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki kuingia nchini kwa ajili ya kesi ya Tundu Antiphas Lissu . Niko njiani kurejea Dar Es Salaam kwa ajili ya kesi. Rais Samia Suluhu suluhisho ya kuficha aibu
Kwa heshima ya Haki na Mapambano ya kweli ya Mhe. Tundu Antiphas Lissu. I've #Retweet_1000
Hiki alichokifanya Maria Sarungi Tsehai ni Ku raise Global Awareness yaan tunaweza kua tunahoja nzuri lakini watu hawajui nn kinatokea nchini. Alichokifanya ni kupeleka at Global level na ame deliver to the fullest. Naomba msiaidie kumpa Repost za kutosha. Thanks Oslo Freedom Forum (OFF) Repost
Huyu ndo Shangazi Maria Sarungi Tsehai kiboko ya Madhulmati na vibaraka wao.
Mapema mchana wa leo Mei 27, 2025 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. John Heche akisalimia wananchi wa Mamsera, Jimbo la Rombo Mkoa wa Kilimanjaro waliposimamisha msafara wake uliokuwa unaelekea Tarakea kwaajili ya mkutano wa jioni. #NoReformsNoElection
Baada ya mapumziko, CHADEMA tumerudi mzigoni. Kata ya Mamsera, Jimbo la Rombo, Kilimanjaro. Makamu Mwenyekiti John Heche amekiamsha. Kazi ni moja tu. Kupeleka moto kwa MaCCM. Hii inaitwa โIGA UFE AU JARIBU UFILISIKEโ #NoReformsNoElection #TunduLissuSioMhaini