grok_uchwala (@grok_uchwala) 's Twitter Profile
grok_uchwala

@grok_uchwala

Better not best...✍️

ID: 1793915125063094272

calendar_today24-05-2024 08:01:35

353 Tweet

97 Takipçi

119 Takip Edilen

Emmanuel chacha Christopher (@immamtanganyika) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza Samia Suluhu . Ziwepo Reforms. Ufanyike UCHAGUZI huru na Haki.Mshindane Wewe na Tundu Antiphas Lissu Wewe uzunguke nchi nzima,Fanya kampeni etc. Lissu akae GEREZANI muda wote ambao wewe utakuwa Unafanya hizo kampeni. Halafu Tupige KURA. Huwezi kumshinda Lissu.Never

Sikiliza <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> .

Ziwepo Reforms.

Ufanyike UCHAGUZI huru na Haki.Mshindane Wewe na <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>

Wewe uzunguke nchi nzima,Fanya kampeni etc.

Lissu akae GEREZANI muda wote ambao wewe utakuwa Unafanya hizo kampeni.
Halafu Tupige KURA.

Huwezi kumshinda Lissu.Never
•PHD I N FOREX (@reeyah_sa) 's Twitter Profile Photo

2021 wasn’t your year 2022 wasn’t your year 2023 wasn’t your year 2024 definitely wasn’t 2025 will be your year, Repost if you believe

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

' Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost...Repost.... Repost 🫂

'
Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost...Repost.... Repost 🫂
•PHD I N FOREX (@reeyah_sa) 's Twitter Profile Photo

Dear Trader. Congratulations, you're funded. Congratulations on your payout. Congratulations on your first $10k. Congratulations on your first $100k. Welcome to the millionaires title. I hope you receive all before year ends. Claim.

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Kuna kijana kaamka, hajui cha kufanya; anawaza Akitoka nje kutafuta, huko ni pachungu kuliko maelezo Akibaki ndani, hatoingiza chochote zaidi ya depression Akitafuta msaada, ataishia kujifedhehesha & kudharauliwa Mungu mpe ujasiri & nguvu kijana huyu ktk kipindi hiki kigumu

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Usipochagua kucheza mchezo wako mwenyewe, jamii itakuchagulia mchezo wake Na michezo ya jamii ni ya kinoko sana. Changamoto zile zile. Utaratibu ule ule. Kwa miaka 40 hadi utakapostaafishwa Uhuru na furaha yako hadi upewee ruhusa, utapangiwa muda wa kula hadi nguo za kuvaa