SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile
SIR JEFF⚡🇹🇿

@sirjeff_d

IQ 150-Genius//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠

ID: 1593905719

calendar_today14-07-2013 17:31:35

10,10K Tweet

99,99K Followers

10 Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Kuna kijana kaamka, hajui cha kufanya; anawaza Akitoka nje kutafuta, huko ni pachungu kuliko maelezo Akibaki ndani, hatoingiza chochote zaidi ya depression Akitafuta msaada, ataishia kujifedhehesha & kudharauliwa Mungu mpe ujasiri & nguvu kijana huyu ktk kipindi hiki kigumu