
nkindikwa Kijana Mzalendo
@davidlev43david
ID: 1628055948014018562
21-02-2023 15:37:00
2,2K Tweet
1,1K Takipçi
976 Takip Edilen

Thank you Former CJ David Maraga 🙏🏽 Injustice to One is injustice to All We appreciate your solidarity in observing such an important case Samia Suluhu ulitaka kuzuia picha kama hii ndo ukaanza kukamata high profile Kenyans - sasa kiko wapi? 🤣 Hii spirit ya 🇰🇪 tuchote kidogo








🤣🤣 ila safari hii Bi Kizimkazi analo! Anapigwa nje na ndani Nje ananyooshwa na Tundu Antiphas Lissu na John Heche Ndani yupo na Gwajimanization 🤣 bora ange-ignore sasa kaanzisha new war front Bado Gen Z 🇰🇪 kwao hii ni extracurricular activity #TutaelewanaTu



‼️BISHOP GWAJIMA’S CHURCH SURROUNDED BY POLICE VEHICLES - PROBABLY THE ABDUCTION SQUAD‼️ After deregistering his church for condemning abductions in #Tanzania , now late night attack on the Church indicates that Samia Suluhu has sent the death squad to abduct him If they reach

BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake. #Kutoka15:3 Kinachoendelea sasa hivi Makao Makuu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Tanzania kwa Askofu Josephat Gwajima Bishop Josephat Gwajima PhD Mbunge wa Jimbo la Kawe. #StateVsChurch

Police is now teargassing people in church! Samia Suluhu umetangaza vita na wakristo? Unaweza kufanya haya mskitini? Unapiga mabomu ya machozi? Jitathminii! Kuna mipaka unavuka ni hatari na haina reverse! Mi nitakushauri bila kuchoka! Eniwei #TutaelewanaTu





Kodi zetu zinatumika vibaya sana na serikali ya ccm chini ya rais Samia Suluhu hebu fikiria huu ujinga na upumbavu unaofanywa na polisi halafu ukute hela zilizotumika kununua hizi risasi, mambomu nk ni fedha za mikopo.


