The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile
The Benny

@benson__21

CONTENT CREATOR

ID: 1525488165120770048

calendar_today14-05-2022 14:48:35

1,1K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

Kwa company yoyote inayohitaji wafanya kazi especially sales ingekuja kutafuta mawinga tu. Hawa watu is more experienced maana anauwezo wa kumshawishi mteja akanunua bidhaa huku Hana mtaji wowote na mteja akatuma ela toka kigoma😂🙌

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

Ni ngumu kuamini Ila ukweli ni kwamba haya maisha mungu kakuachia ww na ww kusena unamuachia mungu nikushindwa kutimiza kusudi lako kwa mungu.

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

Hawa first year mbona siwaelewi Kuna pisi kweli humu mbona naona vitu vya ajabu japo kwa wanaume sura zinaonyesha zitaweza kazi D9

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

Nguvu ya umma. Mungu amewapa unabii pasipo ninyi kujua haya mlioyasema miaka zaidi ya ten back Leo yanaonekana Kama yalivyosemwa. Je huo haiwezi kuwa unabii au mpaka tutumie mchanga na mafuta mazabauni ndo unabii uaminike.

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

Nyimbo ya taifa makombolelo itapigwa siku ya mwaka mpya 2027 Venue; uwanja wa taifa Watasindikizwa na wale jamaa wa Kenya na nyimbo yao ya usenge

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

Nimesema tena kwenye post ya nyuma tunao manabii Ila inawezekana atujui tukiamini kwamba nabii ni mpaka mafuta mazabauni. Kuna nyimbo uliimba wakati wa utawala j Ila Leo matukio ulioyasemea yanatokea bunge la 2015 ukiwasikiliza kina lema waliongea vitu ambavyo vimetokea.

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

Umeongeza mwaka mwingine champion sauti ya watu nguvu ya mungu ishi miaka mingi ikiwezekana uone ukombozi wa nchi uloipigania kwa miaka mingi adi kunusurika na kifo kwa kutekwa. Tupo mwishoni kuwona ukombozi #NIPENI_MAUA_YANGU💐

The Benny (@benson__21) 's Twitter Profile Photo

"I think a lot about the plans for this year, but I still haven't found answers, and I continue to reflect until, by the time December arrives, I will have found the answers."