Mangalai (@ismailmathei) 's Twitter Profile
Mangalai

@ismailmathei

ID: 1603333816323608576

calendar_today15-12-2022 10:20:01

1,1K Tweet

146 Followers

313 Following

CHOLLO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@chollo_255) 's Twitter Profile Photo

Kanuni tano za mafanikio... 1.MAWAZO,unawaza nini 2.MAAMUZI,unaamua nini baada ya kuwaza 3.UTEKELEZAJI,anza kufanya usiishie kuwaza na kupanga 4. DISCIPLINE, una nidhamu gani juu ya unachokifanya 5.SUBRA,vumilia kwanza maana huwezi kuwaza leo ukafanya leo na ukafanikiwa leo.

MaabaraYaSheria (@maabarayasheria) 's Twitter Profile Photo

Usisaini mkataba wa kazi kama โŒ Mshahara haujaandikwa wazi โŒ Muda wa mkataba haujulikani โŒ Haki za likizo hazipo โŒ Masharti ya kufukuzwa hayajaelezwa โŒ NSSF/PSSSF & PAYE hazikutajwa โŒ Unaharakishwa kusaini bila muda wa kusoma Mkataba ni ulinzi wako usisaini ili Mradi tu.

MaabaraYaSheria (@maabarayasheria) 's Twitter Profile Photo

โœ”๏ธ Sheria ya Ndoa & Mirathi โœ”๏ธ Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini โœ”๏ธ Sheria ya Usalama Barabarani โœ”๏ธ Sheria ya Kuzuia Rushwa na Utakatishaji Fedha Na Nyingine nyingi Sana, Kutokujua sheria si kinga dhidi ya adhabu kila kosa lina adhabu yake.

Binamu (@binamu01) 's Twitter Profile Photo

Road Trip Rumba:Top 20 Timeless Songs That Make the Journey Feel Short ๐Ÿš—โœจ๐Ÿ”ฅ 1. Oliver Ngoma โ€“ Ngโ€™รช Spirit 2. Madilu System โ€“ Aminata 3. Fally Ipupa โ€“ Mayday (Rachael) 4. Koffi Olomidรฉ โ€“ Loi 5. Franco โ€“ Mario 6. Papa Wemba โ€“ Show Me the Way 7. Awilo Longomba โ€“ Karolina 8. Ferre

Road Trip Rumba:Top 20 Timeless Songs That Make the Journey Feel Short ๐Ÿš—โœจ๐Ÿ”ฅ

1. Oliver Ngoma โ€“ Ngโ€™รช Spirit
2. Madilu System โ€“ Aminata
3. Fally Ipupa โ€“ Mayday (Rachael)
4. Koffi Olomidรฉ โ€“ Loi
5. Franco โ€“ Mario
6. Papa Wemba โ€“ Show Me the Way
7. Awilo Longomba โ€“ Karolina
8. Ferre
IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

1. Ukitaka kuanza jambo โ€” panga. 2. Ukipanga โ€” fanya. 3. Ukifanya โ€” vumilia. 4. Ukivumilia โ€” kaza. 5. Ukikaza โ€” unatoboa.

PlataOPlomo25 (@nikkizohan) 's Twitter Profile Photo

Oi oi #WACHAMBUZI #SAWA ya @gnakowarawara X LORDEYES @nikkimbishi999 X @niitesonga na ANKO MAWENGE imetoka rasmi. Haya twende YOUTUBE walau mkapate cha kuchambua. youtu.be/NG-EtH9olpU?siโ€ฆ