Mulastar (@mulastar255) 's Twitter Profile
Mulastar

@mulastar255

Link๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

ID: 1176129395414765568

linkhttps://linktr.ee/mulastar255 calendar_today23-09-2019 13:41:33

37,37K Tweet

2,2K Followers

713 Following

GreaterThinker๐Ÿ’Ž (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Serikali BANDIA ina Watu Waliokatwa VICHWA awamu hii Tutashuhudia Mengi Sanaaaa... Serikali Bandia Sijui Washuri Wao Wamerukwa na Akili....!! Eti huyu Binti nae alipanga Njama za Kufanya Uhaini na Kuzuia UCHAFUZI MKUU... SERIKALI BANDIA ni Kituko na Vile inaongozwa na KILAZA๐Ÿ™Œ

Serikali BANDIA ina Watu Waliokatwa VICHWA awamu hii Tutashuhudia Mengi Sanaaaa...

Serikali Bandia Sijui Washuri Wao Wamerukwa na Akili....!!

Eti huyu Binti nae alipanga Njama za Kufanya Uhaini na Kuzuia UCHAFUZI MKUU...

SERIKALI BANDIA ni Kituko na Vile inaongozwa na KILAZA๐Ÿ™Œ
Police Force TZ (@tanpol) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kwa Umma wa Watanzania kuwa, kufuatia matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29/10/2025 katika Majiji ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Mbeya, pia katika Mikoa ya Shinyanga, Geita, Songwe, Ruvuma, Mara,

Zoom Afrika (@zoomafrika1) 's Twitter Profile Photo

Burkina Faso's President, Ibrahim Traore, declined an offer from Saudi Arabia to build 200 mosques in his country. Instead, Traore suggested that Saudi Arabia invest in schools, hospitals, or businesses that would create jobs for the people of Burkina Faso

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

"Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri, akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia." 1 Samweli 7:12

"Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri,
 akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia."    1 Samweli 7:12
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Sambamba na mambo mengine, katika hotuba yangu ya kulifungua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimevielekeza vyombo vya sheria hasa Ofisi Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kuwafutia makosa vijana na watoto wetu ambao kwa kutokujua, walifanya makosa kwa kufuata mkumbo