Ikoti Mughwai, esq (@ikoti_lissu) 's Twitter Profile
Ikoti Mughwai, esq

@ikoti_lissu

Advocate

ID: 1494751229318205441

calendar_today18-02-2022 19:10:56

1,1K Tweet

429 Followers

908 Following

Watu Mikeka (@watu_mikeka) 's Twitter Profile Photo

Hon. Bob Makani alijenga msingi wa CHADEMA. Hon. Freeman Mbowe akapandisha kuta na kupaua Nyumba (CHADEMA). Hon. Lissu & Hon. Heche kwa kipindi kifupi baada ya kupewa ridhaa na wana-CHADEMA pale Mlimani City, wametuonyesha DIRA ya Chama, Misimamo yenye maslahi kwa Taifa mf NRNE

Hon. Bob Makani alijenga msingi wa CHADEMA.

Hon. Freeman Mbowe akapandisha kuta na kupaua Nyumba (CHADEMA).

Hon. Lissu & Hon. Heche kwa kipindi kifupi baada ya kupewa ridhaa na wana-CHADEMA pale Mlimani City, wametuonyesha DIRA ya Chama, Misimamo yenye maslahi kwa Taifa mf NRNE
Dr Willy M Mutunga, Chief Justice, Kenya (2011-16) (@wmutunga) 's Twitter Profile Photo

Just as Africa was winning the war against colonialism Zhou Enlai, the Chinese Prime Minister, visited Africa and declared Africa was ripe for revolution. He saw this historical trajectory. Africa is still ripe for the revolution. 1/

Pauline Njoroge (@paulinenjoroge) 's Twitter Profile Photo

President Samia Suluhu has made costly mistakes, and the consequences are now unfolding. Tanzania, which was once among Africa’s most peaceful and stable nations is suddenly on edge. A people long known for their calm and unity are now in the streets, protesting what they see as

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨🚨BREAKING NEWS FROM SIRARI TARIME‼️ Goons with weapons were overpowered by the People and they ran away leaving behind this probox with various KE and TZ plate numbers They are now setting it ablaze and have vowed to deal with any goon that dares to come their way! The

‼️🚨🚨BREAKING NEWS FROM SIRARI TARIME‼️
Goons with weapons were overpowered by the People and they ran away leaving behind this probox with various KE and TZ plate numbers 
They are now setting it ablaze and have vowed to deal with any goon that dares to come their way! The
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨‼️‼️JOHN HECHE IS IN CRITICAL CONDITION IN DODOMA JAIL🚨‼️ Received urgent news John Heche is now in critical condition and several doctors have communicated this to the police but the refused to allow him to be admitted in hospital for intensive care! Jamani Heche hali yake

🚨🚨‼️‼️JOHN HECHE IS IN CRITICAL CONDITION IN DODOMA JAIL🚨‼️
Received urgent news <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> is now in critical condition and several doctors have communicated this to the police but the refused to allow him to be admitted in hospital for intensive care!

Jamani Heche hali yake
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Turning altar a motivational ground in a country where people, including your congregants, are butchered for political reasons is misappropriating the call. Hubiri, karipia, onya, or go home!

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

YESU aliingia Yerusalemu kwa Maandamano huku wananchi wakimshangilia na kuimba Hosana ajaye kwa jina la Bwana. Mafarisayo walikwazwa sana na ile Nyomi🤣( Kwasababu ya wivu na uovu wao) lakini Mungu wala hakukwazwa. Ila Biblia yangu inanionesha Mungu alikwazwa na Kaini kumwaga

YESU aliingia Yerusalemu kwa Maandamano huku wananchi wakimshangilia na kuimba Hosana ajaye kwa jina la Bwana. Mafarisayo walikwazwa sana na ile Nyomi🤣( Kwasababu ya wivu na uovu wao)  lakini Mungu wala hakukwazwa.

Ila Biblia yangu inanionesha Mungu alikwazwa na Kaini kumwaga
Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Wangapi siku hizi wanasomaga magaziti yao? Wahariri walikuwa akina Ndimara Isaya Tegamwage, Generali Twaha Ulimwengi, Teophil Makunga nk. Wahariri wa TZ hawajui agenda za maandamano lakini tunaishi nao. Wala hawajui tatizo la utekaji na mauwaji na pia hawajui likio cha Katiba.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

IWE KIFUNGO AU KIFO. 1.Msimamo wangu kuhusu Muungano uko Bayana. Tuwe na Serikali Moja au la Tuwe na Serikali Tatu.Hatuwezi kuwa na Muungano ambao Taifa moja linabaki na mambo yake yote halafu mambo yote ya Taifa lingine yanageuzwa kuwa ndiyo mambo ya Muungano .Kama hatuwezi

IWE  KIFUNGO AU KIFO. 

1.Msimamo wangu kuhusu Muungano uko Bayana. Tuwe na Serikali Moja au la Tuwe na Serikali Tatu.Hatuwezi kuwa na Muungano ambao Taifa moja linabaki na mambo yake yote halafu mambo yote ya Taifa lingine yanageuzwa kuwa ndiyo mambo ya Muungano .Kama hatuwezi
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

ZAMBARAU walisaini KANUNI na kushiriki uchaguzi. Baada ya KUBUTULIWA wanasema UCHAGUZI 2025 haukuwa HALALI. Lakini wanampongeza ADO kupewa UBUNGE. Pia, wameita wanahabari kulalamika kwanini hawajapewa VITI MAALUM kutokana na uchaguzi HARAMU. Tofauti ya UBONGO wao na MAVI ni JOTO.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Hii ripoti ya CNN!!!!! Moyo wangu unavuja damu. Kwamba mliwaondoa majeruhi wazima na kuwapeleka mortuary? Kwamba mmezika watu kwenye makaburi ya pamoja, badala ya kuwapa ndugu miili ya watu wao? Haya mtayajibu vipi? Hiyo kiu ya madaraka ni kubwa kiasi gani kwamba unafanya

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨TUME IMESHAPEWA MAJIBU ‼️ Ni kwamba hii Tume imepewa exam paper na majibu yake anavyotaka Murderer In Chief! Tume hii itakuja na mapendezo yafuatayo na mtaniambia 🙄 1. Viongozi wa Chadema Tanzania ndio walioongoza na kuratibu maandamano na watazungumzia uharibifu wa mali bila

‼️🚨TUME IMESHAPEWA MAJIBU ‼️
Ni kwamba hii Tume imepewa exam paper na majibu yake anavyotaka Murderer In Chief!
Tume hii itakuja na mapendezo yafuatayo na mtaniambia 🙄
1. Viongozi wa <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> ndio walioongoza na kuratibu maandamano na watazungumzia uharibifu wa mali bila
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Wakili Msomi Juan Carlos Gutiérrez. Ni Rais wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Wanasheria Duniani. Ni mshauri wa masuala ya haki za binadamu ktk Chama cha Wanasheria Madrid. Amekuwa Jaji wa Mahakama ya Jinai Venezuela. Ni Wakili wa ICC. Ni Wakili wa Watanzania.

Wakili Msomi Juan Carlos Gutiérrez.

Ni Rais wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Wanasheria Duniani.

Ni mshauri wa masuala ya haki za binadamu ktk Chama cha Wanasheria Madrid.

Amekuwa Jaji wa Mahakama ya Jinai Venezuela.

Ni Wakili wa ICC. 

Ni Wakili wa Watanzania.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Bwana Jaji mkuu Masaju, Mahakama ikiwa huru itajisemea kwa matendo yake na hukumu zake.. Mahakama huru inazuia chama cha siasa kufanya kazi zake Nchi nzima kwasababu mtu anadai mali!!!!!! Naona unahangaika kusisitiza Amani!!! Wewe unapaswa kusisitiza haki kwasababu muhimili wa

Bwana Jaji mkuu Masaju, Mahakama ikiwa huru itajisemea kwa matendo yake na hukumu zake..

Mahakama huru inazuia chama cha siasa kufanya kazi zake Nchi nzima kwasababu mtu anadai mali!!!!!!

Naona unahangaika kusisitiza Amani!!! Wewe unapaswa kusisitiza haki kwasababu muhimili wa
GASTON SHUNDO GARUBINDI (@shundogaston) 's Twitter Profile Photo

UPDATE KUTOKA UKONGA GEREZANI DAY 252: Leo nimemtembelea Mteja wangu Mhe Lissu, Ukonga Gerezani kujadiliana naye hatima ya kesi zinazomkabili, ashukuliwe Mungu kwa kuendelea kumjalia afya na siha njema kiongozi. Gerezani kuna utaratibu mpya umeanzishwa ambao ni kinyume cha