Ibrahim J. Isaya
@ibrahimjisumaye
Jesus follower, Seventh-day Adventist || Author || Teacher || Social Psychologist
ID: 1185848170510729216
20-10-2019 09:21:35
18,18K Tweet
4,4K Followers
1,1K Following
Siku 34 zimepita tangu kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Antiphas Lissu isimame, hii ni baada ya ombi la mapitio lililofunguliwa na Jamhuri katika mahakama ya rufaa, ambayo halijapangiwa tarehe hadi leo.
Leo nimeota Tundu Antiphas Lissu anaumwa sana sana. Nikafanya naye maombi, baada ya kumuombea alifarijika sana. John Heche Hilda Newton Maria Sarungi Tsehai