๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐ฐ๐š ๐‡๐š๐ซ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข (@harakati_1) 's Twitter Profile
๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐ฐ๐š ๐‡๐š๐ซ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข

@harakati_1

๐‘ฏ๐‘ถ๐‘ป ๐‘ป๐‘ฏ๐‘น๐‘ฌ๐‘จ๐‘ซ๐‘บ๐Ÿงต๐Ÿ”ฅ

ID: 1753460524417708032

linkhttp://www.idontownawebsite.com calendar_today02-02-2024 16:49:21

1,1K Tweet

1,1K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Appolinaris (@appolinarism) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kitu naogopa kama kuianza siku bila kumtanguliza Mungu na kumshukuru pia ๐Ÿ™ Good morning beautiful people ๐Ÿ›–

Hakuna kitu naogopa kama kuianza siku bila kumtanguliza Mungu na kumshukuru pia ๐Ÿ™

Good morning beautiful people ๐Ÿ›–
Travis Mahurin (@greenhreart) 's Twitter Profile Photo

Mimi nakuwaga na mawazo sana pale ninapo enda ugenini halafu nakuta mazingira ya choo ni mabaya ๐Ÿ™Œni bora nikute hamna kitanda ila sio choo.

Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Naomba retweets hapa wakuu ๐Ÿ“ข Habari Njema! ๐Ÿ“ข Airtel inaleta Router za 5G zenye kasi ya ajabu na utendaji bora kwa matumizi ya nyumbani na biashara yako! ๐Ÿš€ Faida za Router za Airtel 5G: โœ… Kasi ya Juu Sana - Furahia intaneti ya haraka isiyo na kipimo. โœ… Bando la Mwezi Bila

Naomba retweets hapa wakuu 

๐Ÿ“ข Habari Njema! ๐Ÿ“ข

Airtel inaleta Router za 5G zenye kasi ya ajabu na utendaji bora kwa matumizi ya nyumbani na biashara yako! ๐Ÿš€

Faida za Router za Airtel 5G:
โœ… Kasi ya Juu Sana - Furahia intaneti ya haraka isiyo na kipimo.
โœ… Bando la Mwezi Bila
Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Kuanzia leo mkiona sionekani huku usiku mjue niko TikTok kushuhudia uumbaji wa Mungu, kwa hili sipokei ushauri ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Katika pita pita zako utakuwa umekutana na picha za hawa jamaaa.. Lakini zaidi sehemu nyingi duniani watu wengi wamekuwa wakifurahia wakihisi ndio anguko lao Sababu kubwa ni namna walionesha dharau kwa watu masikini kwamba hawajitumiii ili wao ndio wanajituma zaidi, hapa

Katika pita pita zako utakuwa umekutana na picha za hawa jamaaa..

Lakini zaidi sehemu nyingi duniani watu wengi wamekuwa wakifurahia wakihisi ndio anguko lao

Sababu kubwa ni namna walionesha dharau kwa watu  masikini kwamba hawajitumiii ili  wao ndio wanajituma zaidi, hapa