S I L V A🦂(@amsilvery) 's Twitter Profileg
S I L V A🦂

@amsilvery

God over everything ||
@ManUtd @SimbaScTanzania & @realmadrid || 99% Jokes

ID:1270002963642290177

calendar_today08-06-2020 14:41:30

5,1K Tweets

898 Followers

665 Following

S I L V A🦂(@amsilvery) 's Twitter Profile Photo

Niliingia mgahawa mmoja wa wahindi nikagiza msosi wakanipatia na sotojo moja zito nikalitandaza lote kwenye msosi, eh bhn eh kumbe lilikua ni sotojo la pilipili iliyosagwa😂

account_circle
Forever living 🦅(@virutubishoo) 's Twitter Profile Photo

'Karanga 1/4,Ndizi 1,parachichi 1,Tangawizi (unga) kijiko 1,Maziwa glass moja,Kisha saga,kunywa kila siku asubuhi baada ya mazoezi, husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa na kuimarisha afya ya Uume'

'Karanga 1/4,Ndizi 1,parachichi 1,Tangawizi (unga) kijiko 1,Maziwa glass moja,Kisha saga,kunywa kila siku asubuhi baada ya mazoezi, husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa na kuimarisha afya ya Uume'
account_circle
heisCHIUKUTA_(@son_noeli) 's Twitter Profile Photo

Upofu mwingine ni kutokuona kinachosifiwa zaidi na watu.

Mara nyingi upofu wa hivi unaweza kukupeleka kwenye mafanikio pia unaweza kukugombanisha na watu.

Hawataki kuamini HAUVIONI wanavyoviona wao.

Ukibisha nenda kwenye kundi la vijana halafu sema hauoni umuhimu wa Tako.

account_circle
KIRIKUU✏️(@Kirikuu20) 's Twitter Profile Photo

Dubai ni Dubai tu🙌😎
Wenzetu Mafuriko wameyageuza kivutio cha utaliii kabisa.
Kupitia Hii video ndio inakuonyesha kwenye majanga watu ndio hupata fursa .

Dubai ni Dubai tu🙌😎 Wenzetu Mafuriko wameyageuza kivutio cha utaliii kabisa. Kupitia Hii video ndio inakuonyesha kwenye majanga watu ndio hupata fursa .
account_circle
NeGroh(@Mselasafi20) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na degree ya education automatically unaanza kuwa mzeeh unatamani muda wote utushauri humu ndani unafikiri sisi ni wanafunzi 😁😁

account_circle
S I L V A🦂(@amsilvery) 's Twitter Profile Photo

Hamjagundua tu kwanini Arsenal wakifika mwishoni wanaachia nafasi ya kwanza?

Wanaitwa the gunners, ni kampuni ya ulinzi ile na kazi yao ni kulinda nafasi ya kwanza

The Gunners Security company ltd.

account_circle
Nado Kid(@NadoKidson) 's Twitter Profile Photo

Namba 3- Mob deep yupo Nas humo naijua

Namba 4- Snoop Dog - Dogg Style

Namba, 6 - Paid in full - Rakim naijua

Namba 8- DMX, RIP - Itd Dark And Hell is Not, Album kali sana

Namba 9 - Straight Outa Compot, N. W. A ya Group hiyo noma sana

account_circle
Brandon(@lewis_FN1108) 's Twitter Profile Photo

Je unafanya au unataka kufanya betting na haujui ipi ni kampuni sahihi ya kufanya nayo kazi?

ni kampuni Bora kwa ajili yako mwekezaji

Jiunge nasi leo kwa kupitia
link- shorturl.at/oDRS0

Promocode ya bahati jaza LEWIS11 upate bonus hadi 510,013/=

Inaendelea👇

Je unafanya au unataka kufanya betting na haujui ipi ni kampuni sahihi ya kufanya nayo kazi? #1XBET ni kampuni Bora kwa ajili yako mwekezaji Jiunge nasi leo kwa kupitia link- shorturl.at/oDRS0 Promocode ya bahati jaza LEWIS11 upate bonus hadi 510,013/= Inaendelea👇
account_circle