Halima Bulembo (@halimabulembo) 's Twitter Profile
Halima Bulembo

@halimabulembo

| District Commissioner - Kigamboni | Member of Parliament 2015 - 2020 | Diplomat | @SimbaSCTanzania ❤️| Mother of Two | Patriot of the U.R.T | Wifey |

ID: 4250007807

linkhttp://www.ccm.or.tz calendar_today22-11-2015 14:09:18

1,1K Tweet

13,13K Followers

230 Following

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

"..while the number of individuals capable of creating AI is growing, the ranks of those contemplating this technology's implications for humanity-social, legal, philosophical, spiritual, moral remain dangerously thin'.

Nimevutiwa sana na ujumbe wa kumtakia heri ya kuzaliwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kutoka kwa dada zetu Lady JayDee Flaviana Matata fatma karume aka Shangazi Rose Mayemba na wenzao. Inapendeza kuona akina dada bila kujali tofauti zao za kiitikadi na fani kujumuika pamoja kumtia moyo Rais.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Happy Birthday Vivian, and thank you for the wishes. My aides will reach out to you to schedule a meeting. I look forward to speaking with you.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING: Aliyewahi Kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe amefariki dunia leo asubuhi Katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni Jijini Dar es salaam. Aliyekuwa Msaidizi wa Membe, Allan Kiluvya ameithibitishia AyoTV kuhusu kifo cha Membe

#BREAKING: Aliyewahi Kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe amefariki dunia leo asubuhi Katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni Jijini Dar es salaam.

Aliyekuwa Msaidizi wa Membe, Allan Kiluvya ameithibitishia AyoTV kuhusu kifo cha Membe
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina.

Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo Halima Bulembo amewataka Watendaji na Askari kutotumia nguvu kuwahamisha Wajasiriamali bali watumie ubunifu wa kuwajengea mazingira mazuri ya biashara. DC Halima ameyasema haya baada ya Wajasiriamali kulalamikia vitendo vinavyofanywa

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimezindua Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim (The Salim Ahmed Salim Digital Archive), kiongozi, mtumishi wa umma, mwanasiasa na mwanadiplomasia mbobezi wa nchi yetu. Tunamshukuru kwa utumishi uliotukuka kwa taifa letu lakini pia kwa kazi

Mapema leo nimezindua Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim (The Salim Ahmed Salim Digital Archive), kiongozi, mtumishi wa umma, mwanasiasa na mwanadiplomasia mbobezi wa nchi yetu.

Tunamshukuru kwa utumishi uliotukuka kwa taifa letu lakini pia kwa kazi
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

VIPAUMBELE (4R) VYA MHE.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KUTATUA MIGOGORO BAINA YA WANANCHI. Kati ya vipaumbele vya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Serikali ya Awamu ya Sita ni Maridhiano. Maridhiano ni nguzo muhimu ya gurudumu la maendeleo nchini Tanzania, kila mwananchi

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

PART 1 VIPAUMBELE VYA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN (4R) VINAENDELEA KUKUZA MAENDELEO YA WILAYA MBALI MBALI TANZANIA Wakati #DiraYaSamia inaangazia miradi mbali mbali nchini iliyoanzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, Dira iligota

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

PART 2: SOKO LA KISASA KIBADA KUTATUA CHANGAMOTO YA USALAMA WA WAFANYABIASHARA WADOGOWADODO KIGAMBONI. #DiraYaSamia ilitoka mguu kwa mguu kwenda kulitazama soko la Kibada lililosaodia wafanyabiashara ndogo ndogo waliokua wakifanya biashara zao pembezoni mwa bara bara jambo

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Jioni njema na wananchi wa Nkasi mkoani Rukwa. Baada ya kuizindua Hospitali ya Wilaya ya Nkasi, nilipata wasaa wa kuzungumza na wananchi wa Namanyere. Kukamilika kwa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi kumewapa jawabu la matibabu wananchi zaidi ya 400,000 wa wilaya hii.

OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kushoto ni Mhe. Kemirembe Lwota Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Mhe. Halima Bulembo Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Mhe. Amina Makilagi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana pamoja na Mhe. Sakina Jumanne Mohamed Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe wakiwa katika shule ya Mwalimu Julius Nyerere kwa

Tedros Adhanom Ghebreyesus (@drtedros) 's Twitter Profile Photo

Congratulations, Faustine Ndugulile, on your election to serve as the next WHO African Region Regional Director — it is a great privilege, and a very great responsibility. I and the entire World Health Organization (WHO) family in Africa and around the world will support you every step of the way. #RC74AFRO

Congratulations, Faustine Ndugulile, on your election to serve as the next WHO African Region Regional Director — it is a great privilege, and a very great responsibility. I and the entire World Health Organization (WHO) family in Africa and around the world will support you every step of the way.

#RC74AFRO
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia kila la kheri wanafunzi 1,230,780 wa Darasa la Saba mlioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi leo. Mnatoka hatua moja ya elimu na malezi kwenda nyingine katika safari yenu ya kujiandaa kutoa mchango wenu wa maendeleo kwa Taifa letu. Serikali imeandaa mazingira sahihi

Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa ninasikiliza recorded press conference ya Ndugu Nchimbi, ninayo kila sababu ya kusema chama chetu kimepata kiongozi hodari. Katulia, maelezo yanaeleweka na nyuma ya maelezo unaona akili ya mwanasiasa na nwanadiplomasia. Chama kinahitaji mtu wa kukimoderate. Nchimbi is

Nilikuwa ninasikiliza recorded press conference ya Ndugu Nchimbi, ninayo kila sababu ya kusema chama chetu kimepata kiongozi hodari. Katulia, maelezo yanaeleweka na nyuma ya maelezo unaona akili ya mwanasiasa na nwanadiplomasia. Chama kinahitaji mtu wa kukimoderate. Nchimbi is
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu. Ninyi na Klabu zote washiriki mnaipa Ligi hii thamani inayovutia uwekezaji kibiashara na ajira, na yenye mvuto wa kipekee katika ukanda huu wa Afrika. Endeeleni kutoa burudani kwa mamilioni ya

Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu.

Ninyi na Klabu zote washiriki mnaipa Ligi hii thamani inayovutia uwekezaji kibiashara na ajira, na yenye mvuto wa kipekee katika ukanda huu wa Afrika. Endeeleni kutoa burudani kwa mamilioni ya
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

AD: Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2 bilioni (TZS bilioni 424.31) na kumfanya kuwa mmiliki mkuu wa kampuni