Godfrey (@godfrey31805336) 's Twitter Profile
Godfrey

@godfrey31805336

Simba❤️❤️❤️ Manchester united &Real Madrid

ID: 1151194873552416769

calendar_today16-07-2019 18:20:20

253 Tweet

101 Followers

210 Following

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

⭐️ Nyota wawili wa #SimbaSC 🦁 kwenye Kikosi Bora cha Wiki cha hatua ya robo fainali ya #TotalEnergiesCAFCL - mchezo wa kwanza. #NguvuMoja

⭐️ Nyota wawili wa #SimbaSC 🦁 kwenye Kikosi Bora cha Wiki cha hatua ya robo fainali ya  #TotalEnergiesCAFCL - mchezo wa kwanza. #NguvuMoja
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan (Samia Suluhu). Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania. Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa

Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan (<a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>).  Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania.

Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tumemaliza mikutano mitatu jimbo la Sengerema, mkutano wa kwanza kata ya Sima, Busisi na Sengerema mjini. #OkoaBandariZetu #KatibaMpyaNiSasa

Tumemaliza mikutano mitatu jimbo la Sengerema, mkutano wa kwanza kata ya Sima, Busisi na Sengerema mjini.

#OkoaBandariZetu 
#KatibaMpyaNiSasa
Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto nyingi, kudhibiti athari, na kufanikiwa baada ya misukosuko ndiko kunakomjenga mjasiriamali halisi. Kama sehemu ya juhudi zangu za uwekezaji wa kijamii, nalenga kuwawezesha wajasiriamali kwa kuwapa maarifa muhimu yanayohitajika kwa

Kuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto nyingi, kudhibiti athari, na kufanikiwa baada ya misukosuko ndiko kunakomjenga mjasiriamali halisi.

Kama sehemu ya juhudi zangu za uwekezaji wa kijamii, nalenga kuwawezesha wajasiriamali kwa kuwapa maarifa muhimu yanayohitajika kwa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Ushindi wenu ni furaha kwa mashabiki wenu na burudani kwa Watanzania wote. Ninawatakia kila la kheri katika Nusu Fainali.