Felix Mallya
@gfehma
Travel and Safaris company Owner. Deals with Game Drive Safaris, Accommodations and Mt Kilimanjaro climbing...
ID: 252513435
http://www.gfehmatrekking.com 15-02-2011 10:35:14
5,5K Tweet
420 Followers
2,2K Following
Thank you davidmcallister Dunia nzima imesimama na Tundu Lissu 💪🏽 #FreeTunduLissu
“Maandamano makubwa ya kushinikiza Tundu Lissu aachiwe yanakuja…”-; Mhe. John Heche
Hata kama nitakufa kesho, TUNDU LISSU nampenda sana❤️❤️ vijana hasa wadogo kizazi Cha GENZ, huyu mwamba ni mkombozi wetu,tumpiganie kwa nguvu kubwa na kwa namna yeyote uwezavyo. Free TUNDU LISSU ✌️✌️✌️ ▶️Retweet500 Follow 👉 CHADEMA NI IMANI❤️(Nyegere Wa Afrika/Honey badger)
Uongozi imara nje na ndani ya kuta za gereza ndo hii 🔥 Walidhani wakimnyima John Heche kuonana na Tundu Antiphas Lissu basi mmoja wao atalainika 😁😁 Bwana weee wakakutana na miamba wakipigwa tafu na manaibu na katibu mkuu MNYIKA John John wasiotetereka! Sasa inabidi wapokee spana tu 👊🏽🔥