Godfréy William Jr 🇹🇿 (@geniuspromax) 's Twitter Profile
Godfréy William Jr 🇹🇿

@geniuspromax

Professional Blogger | Entrepreneur | First Born | All we are equal but not the same | we live Once | CCM Member 🇹🇿 | Yanga SC | Man City | Barcelona | Messi

ID: 4919020313

linkhttps://linktr.ee/GeniusPro calendar_today16-02-2016 11:15:40

1,1K Tweet

7,7K Followers

3,3K Following

Godfréy William Jr 🇹🇿 (@geniuspromax) 's Twitter Profile Photo

Mtuambie kipindi kile Chama chenu kinanunua zile double cabin (Toyota Hilux) mkaziandika M4C, Je Yale manunuzi yalipitishwa Bungeni?, yalijadiliwa na bunge? Na ni kwanini? Majibu plz.

Godfréy William Jr 🇹🇿 (@geniuspromax) 's Twitter Profile Photo

Ufunguo 🗝 unao fungua kila kufuli 🔒 huthaminiwa Sana pia hutunzwa na unaitwa Master Key. But kufuli linalofunguliwa na kila Ufunguo Hilo huitwa bovu na hutupwa halifai. That's a different between Man and Woman. © 2024 Genius Pro

Ufunguo 🗝 unao fungua kila kufuli 🔒 huthaminiwa Sana pia hutunzwa na unaitwa Master Key.
But kufuli linalofunguliwa na kila Ufunguo Hilo huitwa bovu na hutupwa halifai.

That's a different between Man and Woman. 

© 2024 Genius Pro
Godfréy William Jr 🇹🇿 (@geniuspromax) 's Twitter Profile Photo

Pale unapokuta Meseji kama hii kwenye simu ya Mke wako kipenzi kamtutumia Mume wake kipenzi, Kama Mwanaume Uta-take action Gani? #UbayaUbwela

Pale unapokuta Meseji kama hii kwenye simu ya Mke wako kipenzi kamtutumia Mume wake kipenzi, Kama Mwanaume Uta-take action Gani?

#UbayaUbwela
Godfréy William Jr 🇹🇿 (@geniuspromax) 's Twitter Profile Photo

Haya haya Kumekucha mazee. Mida yenyewe hii ya mapambano dhidi ya Umasikini. Mida ya kwenda Ku-Force. Mida ya kupambania kombe 🏆. #KilaHatuaSala #KaziNaSala #Kaziiendelee

Vyuma anapigwa Azam ila Wanaoumia ni Ubaya Ubwela 😃😂😂😂 ila Thimba bwana. #CommunityShield #TheClubAboveAll #Yanga #YoungAfricans

Vyuma anapigwa Azam ila Wanaoumia ni Ubaya Ubwela 😃😂😂😂 ila Thimba bwana. 

#CommunityShield #TheClubAboveAll #Yanga #YoungAfricans
Godfréy William Jr 🇹🇿 (@geniuspromax) 's Twitter Profile Photo

Nyumbani (Uarabuni) jambo letu limeenda vizuri, 25/05/2025 Tukutane Ukweni (Zanzibar) Tuhitimishe pamoja #CAFCC #CAFCCFINAL #Morocco #Tanzania #RSBerkane #SimbaSC

Nyumbani (Uarabuni) jambo letu limeenda vizuri, 25/05/2025 Tukutane Ukweni (Zanzibar) Tuhitimishe pamoja

#CAFCC #CAFCCFINAL #Morocco #Tanzania #RSBerkane #SimbaSC