Gemini Korneli (@geminikorn71701) 's Twitter Profile
Gemini Korneli

@geminikorn71701

ID: 1698765986692788224

calendar_today04-09-2023 18:33:16

1,1K Tweet

100 Followers

332 Following

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya Mambo yakushangaza kwenye uchaguzi mkuu nchini Uganda ni ushindi wa Gen. Moses Ali mwenye umri wa miaka 86 ambaye pia anaonekana kuwa na tatizo la Akili mambo yake ni kama mtu aliyechanganyikiwa lakini ameshinda ubunge kwa tiketi ya chama tawala NRM kinacho ongozwa

💨mangi mkuu (@kavishepb) 's Twitter Profile Photo

Kuna mijitu ya hovyo sana, magari yote hayo mix ving'ora silaha nzito yamefika apo kushusha bendera ya chadema tu au kuna mwana CDM kawachapia mke?🤔

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa ujanja ujanja na uongo… Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kukodi wahuni watukane watu wanaosema ukweli… Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kuua kila mwenye mawazo tofauti.. Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kujaza watu hofu ya kutekwa au kumbambikiziwa

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu kuachiwa kwa Masheikh wa Uamsho, akipinga vikali madai ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber, kuwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ndiyo

Laizer🐐 (@officialekl) 's Twitter Profile Photo

TUMECHOKA NA MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI! Kifo cha mfanyabiashara wa madini Arusha maarufu kama Banjoo kimeumiza mioyo ya wengi. Watanzania wanataka majibu. Tunataka ukweli. Tunataka haki. Haiwezekani watu watekwe, wauwawe halafu kimya kitawale. Mamlaka zinapaswa kutoa taarifa

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ibada za KATOLIKI zimenyooka sana-wanakupa za uso bila kujali wewe ni DIKTETA kiasi gani. Jana NDIOMAANA KIPWINTU kaliondoka kwa hasira na ufupi wake kama gunia la SUKARI.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

HUYU KIBAKA ABA ELIMU GANI kumkosoa FATHER KITIMA? Hizi PEDI ZA SAMIA jau sana. Kama imewauma sana,muuweni kiongozi wenu tuje msibani mtambe.

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#SupaTech | Unapiga simu kila siku kabla haijaita unakatiwa, sasa kama unataka simu ya mpenzi wako ijipokee yenyewe akiwa mbali na wewe basi fanya hivi ambavyo #raytechnologiez anaelekeza hapa. #EastAfricaRadio | #SupaBreakfast | #SupaTech

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Viongozi kadhaa wa madhehebu ya Kiinjili nchini Marekani wamekusanyika katika Ikulu ya Marekani (White House) na kumuombea Rais wa nchi hiyo, Donald Trump, huku wakiliombea pia taifa hilo kufanikiwa katika vita dhidi ya Iran. Tukio hilo lilifanyika jana Alhamis Machi 5, 2026

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kwenye hii Video kuna mambo mazito sana, Jaribio la kuuwawa ka Father Kitima nadhani lililenga zaidi uelewa wake, ni mtu mwenye upeo mkubwa sana Amefanya mazungumzo na wanahabari kwenye tukio moja, lakini kwenye hayo mazungumzo aliwezi jibu Hotuba za nyuma za Samia, Hotuba za

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: HIZI HAPA SABABU ZA WAISLAMU KUIPINGA BAKWATA, HUKUMU YAKE YAWEKWA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA KIINGEREZA Ustadhi Juma Hussein Kilaghai mmoja wa Waislamu 12 waliowashitaki RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii zilizopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Mwanasheria Mkuu wa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni mtoto wa Idd Amin Mama, Yani hata kusoma tu kilichoandikwa kwenye karatasi aliyoshika anashindwa.😂😂😂😂 Wataalam wanasema asilimia kubwa Watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao ila mama akiwa kilaza, Watoto ndo inakua balaa na nusu Sasa mwangalie huyu, angalia

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Bora nyie , Kassim Majaliwa ali-drop ahadi ya barabara. Sisi tuliuziwa “maisha bora kwa kila Mtanzania” enzi za Jakaya Kikwete ( Mumeo) … hadi leo ni trailer tu, movie haijatoka. Na miaka 10 ulikuwa First Lady. Kama ningekuwa advisor wa Kassim Majaliwa, ningemwambia, awe makini

Bora nyie , Kassim Majaliwa ali-drop ahadi ya barabara.
Sisi tuliuziwa “maisha bora kwa kila Mtanzania” enzi za Jakaya Kikwete ( Mumeo) … hadi leo ni trailer tu, movie haijatoka. Na miaka 10 ulikuwa First Lady.

Kama ningekuwa advisor wa Kassim Majaliwa, ningemwambia, awe makini