Gerald Baridenajega (@gbardenajega) 's Twitter Profile
Gerald Baridenajega

@gbardenajega

Humble Human Being!
Pan - Africanist! UDSM Alumni!
iam my brother's keeper!

ID: 1391366918540570630

calendar_today09-05-2021 12:18:57

27 Tweet

28 Followers

130 Following

Gerald Baridenajega (@gbardenajega) 's Twitter Profile Photo

My mother is so full of joy and life. I am her child. And that is better than being the child of anyone else in the world. happy mothers day.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Hawa Mchafu amedai baadhi ya Wanaume Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za Simba na Yanga kuliko afya zao —— > “kama nguvu hiyo ingetumika kujadili afya ikiwemo kupima UKIMWI huenda vita dhidi ya UKIMWI ingekuwa nyepesi” #MillardAyoBUNGENI

John Mallya,Esquire (@johnmallya) 's Twitter Profile Photo

Mahakama Kuu imetengua hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyowatia hatiani Freeman Mbowe na wenzake na kuwalipisha fine ya mamilioni. Mahakama Kuu imetengua hukumu na kuagiza fine zilizolipwa zirudishwe.

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Very good insight. Maybe SSH anachelewa kukutana na kina Mbowe kwa sababu anaelewa wametendewa DHULMA na UHUNI na wanaendelea kutendewa UHUNI. Mtu mwenye uso wa haya atawaambia nini? “I am sorry?”

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

I urge my Fellow Tanzanians to continue to take precautionary measures against Corona (Covid-19) as directed by our Healthcare Professionals such as to regularly wash our hands with running water and soap, wearing masks at all times and always maintain social distancing.

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

“Siamini sana Kama ujenzi wa Sanamu ni ishara tosha ya kumkumbuka hayati, Bali ingejengwa shule au taasisi ya kurahisisha Huduma za kijamii ikaitwa jina la anayetaka kukumbukwa na si sanamu “ Professor Sospeter