Franklin Tissa(@franklin_tissa) 's Twitter Profileg
Franklin Tissa

@franklin_tissa

Political Animal|Social Runner|
Arsenalholic|Simbaholic
#TOTRunners #JustFit

ID:355799840

calendar_today15-08-2011 22:26:00

298,0K Tweets

71,8K Followers

5,2K Following

Follow People
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Nadhani Vyama vya Upinzani vingeamua kukomaa na hoja namna Bunge dhaifu la Chama kimoja limeshindwa kuisimamia Serikali, tena mifano hai ipo, wangekua na Leverage kubwa kwa Wananchi kuliko kwingine.

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Pia Mabwana hawana wanatoa ushauri kwa wateja wao aina ya garo bora na zinazowafaa kulingana na their income bracket au maeneo wanayoishi, upatikanaji vipuli na kadhalika.
Wacheki hapa upate Taarifa zaidi:

instagram.com/av_magari?igsh…

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna hawa Mabwana wanaitwa AV magari.
Wana kurasa yao Instagram, nitashare link huku chini.
Ukiachana na Uagizaji magari kwa niaba ya wateja, kutoka Dubai, Singapore, Japan, USA, na Europe, pia wanafanya clearance ya magari na mizigo mingine bandarini.
Ukiagiza gari kupitia wao,…

Kuna hawa Mabwana wanaitwa AV magari. Wana kurasa yao Instagram, nitashare link huku chini. Ukiachana na Uagizaji magari kwa niaba ya wateja, kutoka Dubai, Singapore, Japan, USA, na Europe, pia wanafanya clearance ya magari na mizigo mingine bandarini. Ukiagiza gari kupitia wao,…
account_circle
Prohans(@HansMare) 's Twitter Profile Photo

Make:Toyota
Model:Vanguard
Year:2012
No Of Seats:7
Mileage:56000km
Engine Capacity:2390
Price:44.5 Million Tanzanian Shillings

Make:Toyota Model:Vanguard Year:2012 No Of Seats:7 Mileage:56000km Engine Capacity:2390 Price:44.5 Million Tanzanian Shillings
account_circle
Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Bank na microfinance zinatoa mikopo ya riba nafuu na wakopaji wa kausha damu wanajua kabisa ila hawawezi kwenda sababu hawana vigezo inshort hawakopesheki na wana shida inabidi warudi kwenye taasisi zisizo rasmi ndio hizo kausha damu riba hadi 100%

account_circle
Raymond Nyamwihula(@Nyamwihularay) 's Twitter Profile Photo

Kimbunga kinaweza kuitwa hata Tissa ujue 🤣🤣 angalia hii link niliwahi kuhoji mchakato wa hayo majina mwaka jana.

youtube.com/watch?v=2jeoRC…

account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Fursa kwa vijana zipo kwenye mambo mengi.

Mhandisi mtaalam Polycarp The Bibliophile amekuandalia mada ya 'Teknolojia rahisi vijana wanazoweza kuzitumia kutengeneza ajira'

Fursa kwa vijana zipo kwenye mambo mengi. Mhandisi mtaalam @MdemuPolycarp amekuandalia mada ya 'Teknolojia rahisi vijana wanazoweza kuzitumia kutengeneza ajira' #ElimikaWikiendi
account_circle