Francis Majige Nanai (@francisnanai) 's Twitter Profile
Francis Majige Nanai

@francisnanai

Progressive Corporate Business Leader, Economist cum Marketer.

ID: 876018229

calendar_today12-10-2012 17:01:13

3,3K Tweet

5,5K Followers

704 Following

Prisca Kishamba (@pkishamba) 's Twitter Profile Photo

Simba SC wanafuzu hatua ya Makundi Klabu Bingwa Afrika kwa faida ya magoli ya ugenini ⏰Full Time : Simba SC 1 - 1 Power Dynamos Chiboni 68’ (OG) | Boyle 16’ Aggr : 3 - 3 #KishambaUPDATES

Simba SC wanafuzu hatua ya Makundi Klabu Bingwa Afrika kwa faida ya magoli ya ugenini

⏰Full Time : Simba SC 1 - 1 Power Dynamos

Chiboni 68’ (OG)  | Boyle 16’

Aggr : 3 - 3

#KishambaUPDATES
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

● Ndege mpya aina ya Boeing 737 Max 9 ipo angani kutokea Mji wa Seattle, Marekani kuja Tanzania. Ndege hiyo itawasili nchini Oktoba 3, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Terminal I. Mapokezi ya Ndege hiyo yataongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt.

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na India ulianza tangu mwaka 1961. India ilifungua Ubalozi wake mwaka 1961 na Tanzania ilifungua Ubalozi wake nchini India mwaka 1962. #TanzaniaIndia

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na India ulianza tangu mwaka 1961. India ilifungua Ubalozi wake mwaka 1961 na Tanzania ilifungua Ubalozi wake nchini India mwaka 1962. #TanzaniaIndia
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza mapokezi ya Mwadhama Kardinali Protase Rugambwa mara baada ya Kardinali Rugambwa kuwasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Vatican

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Heri ya miaka 73 ya kuzaliwa Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete. Ahsante kwa utumishi wako kwa umma wa zaidi ya miaka 50 kwenye Chama Cha Mapinduzi, Jeshi la Wananchi wa Tanzania, na baadaye kama Rais wa nchi yetu. Nakutakia afya njema na wakati mwema unapokumbuka siku

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Samia Suluhu Nakushukuru sana Mheshimiwa Rais kwa salaam zako za upendo. Nimefarijika sana. Nakutakia kila heri katika jukumu lako la kuliongoza Taifa letu. So far so good. Please continue to do the good work. JK.

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzanian High Commisioner to India, H.E Anisa Mbega has mentioned the coming state visit to India by H.E Samia Suluhu as a milestone to the historic relations existing between 🇹🇿& 🇮🇳. She made the remarks at an exclusive interview ahead of the visit on 8 .10. 2023 Tanzania India

Tanzanian High Commisioner to India, H.E Anisa Mbega has mentioned the coming state visit to India by H.E <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> as a milestone to the historic relations existing between 🇹🇿&amp; 🇮🇳. She made the remarks at an exclusive interview ahead of the visit on 8 .10. 2023 <a href="/TanzaniaIndia/">Tanzania India</a>
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiendelea na kazi wakati akiwa safarini kuelekea Mji wa New Delhi nchini India kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023. Mhe. Rais Samia alitumia usafiri wa Ndege ya Shirika la ATCL

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiendelea na kazi wakati akiwa safarini kuelekea Mji wa New Delhi nchini India kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023. Mhe. Rais Samia alitumia usafiri wa Ndege ya Shirika la ATCL
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Landed in New Delhi for a state visit, at the invitation of India national leaders. To Tanzanians, India is our extended family, a strategic ally, and one of our largest bilateral trading partners. I am looking forward to a productive visit in expanding trade and investment

Landed in New Delhi for a state visit, at the invitation of India national leaders. To Tanzanians, India is our extended family, a strategic ally, and one of our largest bilateral trading partners. I am looking forward to a productive visit in expanding trade and investment
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam 🧑🏽‍🎓:GPA ya 4.8 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti  Bi Elizabeth B. Kway, mmoja wa wanafunzi wahitimu wawili wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza wakiwa

📍Dar es Salaam

🧑🏽‍🎓:GPA ya 4.8

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti  Bi Elizabeth B. Kway, mmoja wa wanafunzi wahitimu wawili wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza wakiwa
January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

Few moments ago: proudly listening to our Speaker of Parliament, Honourable Dr. Tulia Ackson, delivering her acceptance speech after being elected President of Inter-Parliamentary Union. Candidate quality, efforts by campaign team and Tanzania’s diplomacy, led by H.E

Few moments ago: proudly listening to our Speaker of Parliament, Honourable Dr. Tulia Ackson, delivering her acceptance speech after being elected President of Inter-Parliamentary Union. Candidate quality, efforts by campaign team and Tanzania’s diplomacy, led by H.E
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Angola ⭐️:Latest News Spika wa Bunge Mhe Dr Tulia Ackson akihutubia muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) . katika kura zilizopigwa ambapo Mhe Tulia amepata kura 172 kati ya kura 303 zilizopigwa kwenye uchaguzi huo nchini

📍Angola

⭐️:Latest News 

Spika wa Bunge Mhe Dr Tulia Ackson akihutubia muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) . katika kura zilizopigwa ambapo Mhe Tulia amepata kura 172 kati ya kura 303 zilizopigwa kwenye uchaguzi huo nchini
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa unayoendelea kuifanya na imani wajumbe waliyo nayo juu yako na nchi yetu. Kuchaguliwa kwako pia ni matokeo ya

Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa unayoendelea kuifanya na imani wajumbe waliyo nayo juu yako na nchi yetu. Kuchaguliwa kwako pia ni matokeo ya
January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

From tomorrow, the 30th of October, His Excellency Frank-Walter Steinmeier, President of Federal Republic of Germany, will pay a three-days visit to Tanzania at the invitation of Her Excellency Samia Suluhu, President of the United Republic of Tanzania. The two countries enjoy

From tomorrow, the 30th of October, His Excellency Frank-Walter Steinmeier, President of Federal Republic of Germany, will pay a three-days visit to Tanzania at the invitation of Her Excellency <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>, President of the United Republic of Tanzania. The two countries enjoy
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa nyumba mpya ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, na kuikabidhi kwa Mama Janeth Magufuli, nyumba hiyo imejengwa na Serikali kwa mujibu wa sheria

Rais Samia Suluhu Hassan amemkabidhi Nyumba Mjane wa Rais wa awamu ya Tano Dkt John Magufuli, Mama Janeth Magufuli jijini Dar es Salaam.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi wa zaidi ya miaka 85 sasa ni sehemu muhimu ya burudani yetu. Mnawaleta pamoja na kwa namna kipekee, mamilioni ya Watanzania ndani na nje ya nchi yetu. #KariakooDerby

Tanzania Business Insight (@tanzaniainsight) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA'S NEW INVESTMENT CZAR HAS BIG AMBITIONS FOR THE COUNTRY Since coming into office in March 2021, President Samia Suluhu has sought to woo investors back to Tanzania Among other things, President Samia improved the business environment and appointed a young and dynamic